Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Halalamikiii analalamika ushenzi wa kuikanyaga katiba ujahili uliopitiliza mahakama ilithibitisha hili aliondolewa kimakosa

Sent from my 2201116SI using JamiiForums mobile app
 
Mambo yetu Waislam ungeachana nayo tu. Hayakuhusu kabisa. Usijifanye unatujua sana.
 
Ninyi mnaongea ya juu juu tu. Huyu bwana alipitia wakati mgumu sana. Hata kuwepo kwake hai mpaka leo, kwa kiasi kikubwa alisaidiwa na dini yake.

Wenzetu waislam, wanasema muislam mwenzako ni mtu wa karibu zaidi kuliko mwingine yeyote.

Wapo watu (sijui kama ni busara kuwataja, maana mpaka sasa wapo kwenye ngazi za juu za Serikali na utumishi wa umma. Wanaojua codes, mmoja ana majina yenye herufi JM, na mwingine BSR, wote waislam) walishikirishwa katika mipango ya kumpoteza Duniani huyu profesa aliyekuwa CAG eti kwa sababu ana kiburi. Na jambo hilo ilikuwa lifanyike baada ya uchaguzi wa 2020. Watu hao hao walioshirikishwa kwenye mipango hiyo, kwa vile ni waswahilina wenzake, walienda kumtonya kuwa aondoke haraka mjini. Na alifanya hivyo.

Ikumbukwe kuwa alitekwa kwa mara ya kwanza akiwa Mlimani City, lakini ikawa bahati nzuri watu wengi wakawa wameona. Akaachiwa baada ya masaa 8.
 
Sheria ya kijinga sana ile,nchi ilipitia wakati mgumu sana.
 
Mungu anazidi kumbariki na kumwimarisha kwa sababu alikataa dhambi ya wazi ya kuungana na wauaji na wezi wa mali za umma kwa ajili ya kuimarisha sehemu walizozaliwa kwa kodi ya Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…