Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Du huu uharo una nuka hatari ndezi jike wee
 
Unafiki gani wakati alipishana na mkuu alipotaka kuanza kukagua ndege

Bunge lilimuomba akakague ndege, Huko ndiko nyaraka watu wakaficha

Ni mwalimu wako Yes lakini wewe ni kilaza na mpumbavu ulifaulu kwa kujaza makaratasi lakini hukuelewa kitu
Afaulu wapi huyu kama ana degree bc ya chupi
 
Mkuu wewe huna exposure yeyote kaa kimya

uwezo wako wa kufikiri unaishia mlangoni kwako

Hapa sio darasani utakapofundishwa maana ya nyaraka

Hapa wamejaa Manguli na wataalamu wa mambo

Kama hujaelewa uzi Nenda jukwaa la mapenzi
Mwambie huyo kindele hana ajualo
 
BOT walichukua pesa nyingi za watanzania wanazozituma toka nje pia wafanyabiashara walioporwa pesa nyingi kwenye Account zao, wakichukua pesa nyingi tokea kwenye maduka ya kubadili pesa za ikigeni
 
Alichofanya ni utaratibu wa ilani ya chama chake, hakuna jipya
Blueprints ya hizo white elephants projects zilikuwepo donkeys ago..
Mkapa na Kikwete laid foundation...........with cautious
Yeye kakurupuka wakati anavaa pacemaker

Labda kuaachia nyie wachuuzi wanyonge mzagae mtaani na kuchafua miji kwa kisingizio cha kujiari ndio kinawafanya aonekane kafanya kitu
 
Du chief uwezo wako wa kufikiri upo chini sana
 
Kotekote nchumari ,ukisimama nchumari ,ukikimbia nchumari
 
Ummy Mwalimu njoo umchukua CPA TZ mwingine huyu hapa. Umesoma vyema alichosema ASSAD? Kasema kuna Documents hakuzikuta hivyo akaomba apewe.
 
We Ku.ma endelea kuhangaika na mitandao mi nilikua sitegemei Mtu mzee Salary yangu inangia kila mwezi na enjoy maisha hii nafasi niliopo hata aje Rais gani nitaendelea ku enjoy na kula bata
Tamba tu na hicho kinafasi subiri wakungwa wanavyo kuja kukupiga vamshy
 
Mkuu wewe huna exposure yeyote kaa kimya

uwezo wako wa kufikiri unaishia mlangoni kwako

Hapa sio darasani utakapofundishwa maana ya nyaraka

Hapa wamejaa Manguli na wataalamu wa mambo

Kama hujaelewa uzi Nenda jukwaa la mapenzi
Mshenzi sana huyo jamaa. Sijui kaandika nini. Prof. Kasema kabisa aliomba nyaraka akaupewa which means hakuwepo na nyaraka hizo. Sasa huyu mchicha mwitu anaongea uharo gani? Mungu ni mwema jiwe alikuwa anaenda kuibamiza nchi baharini tuzame wote. Hakuwa kiongozi kabisa utoto na masihara yalikuwa ni mfumo wa maisha yake.
 
Asante kwa kutudharau sis wapiga kura tulio wengi.

Sis wanyonge, wachuuzi unaodhani tunazagaa badala ya kufanya kazi katika nchi yetu.

Enzi za marehemu wote tulikua sawa, naona taratibu zile Zama za unanijua mimi Nani !! Zikirejea.

Ila nakuahidi, ni swala la muda tu, watu sasa wanajielewa hasa baada ya marehemu kuwafumbua macho.
 
Maelezo ya mkataba tumesikia upande mmoja tu wa mwendazake kama katupiga sound? Upelekwe bungeni kila kitu kiwe wazi ndio tutajua mbivu na mbichi
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Umemsikiliza vizuri alivyongea? Unakumbuka alitolewa vipi ofisini? Kwa mtazamo huuhakunania ya dhati ya kuzuia haya maboacha watawala waendelee wanaovyo on inafaa ili tuwe kama ulaya
 
Mkuu, labda nikuhoji kitu - hivi unataka ku-pre empty kitu gani,husitufanye Watanzania hatuna akili ya kubaini kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.

Professor Assad is unquestionably mega smart upstairs - hapa anatumia a diplomatic language ku-drive point home, wewe unatujia na Mickey Mouse auditing jargon kwa lengo la kujaribu ku-derail mada ili Prof. Assad aonekane ni mzushi/muongo - who can take your skewed comments/remarks seriously - may be the marines.

Kwani Prof. Assad anaposema aliomba nyaraka zinazo husu: SGR,ATCL na Barabara nk hii si inadhiliisha kwamba yeye kama Auditor in Chief wahusika bila shaka wahusika wa vitengo tajwa hapo juu walipewa instructions from higher Authority kwamba wasishirikiana na Prof. Assad from day one - yeye kutumia neno "aliomba" ina maana hakupewa hii inakupa picha gani zaidi kama sio niliyo yataja hapo juu ie hawakutaka kuwa audited, swali ni: nani alikuwa anawapa jeuri ya kumdharau CAG.

Nakumbuka vizuri Watanzania tulivyo shuhudia kwa macho yetu Prof. Assad alivyo ondolewa ofisini unceremonously like a seasoned criminal, wakahakikisha wanaleta flying squad ya waadishi wa habari na TV ya taifa kuonyesha LIVE mzee wa watu anavyo timuliwa ofisi - humiliating poor Assad to the letter, kilicho msaidia Prof ni his MAKER aliye muhumba by endowing him with a nerve of steel, hakuteteleka chochote, as if that was not demonic enough wabunge wa chama tawala Bungeni wakamshambulia kweli kweli kwa maneno ya ajabu just to get even - kisa kwa nini anakuwa mkweli. Sasa ameanza kufunguka zaidi by spilling the beans, nyinyi mnaanza kuja na mbinu mpya ya kumshabulia tena ili mfunge mdomo kwa mara nyingine tena.
 
Kwa comment hii clueless na inayojichanganya yenyewe unadiriki vipi kujiita mwenye akili??
 
Mwehu huyo, huyu wa sasa alipewa na nani? Maana wakati anakagua bado hayati alikuwepo

Inafikirisha Sana! Kwa Maneno Yake Anasema Zilifichwa. Kama Yeye Assad Alinyimwa Kwa Nini Huyu Apewe Wakati Kazi Wanayokuwanayo kwenda Kuifanya Inafanana?

Lengo La Kumfichia Assad Lilikuwa Ni Nini Hasa Kumtoa Ofisini Au Kuzuia Madudu Ambayo CAG Huyu Wa Sasa Kaja Kuyatoa?

Binafsi Kama Yeye Alibaniwa Hata Huyu Angebaniwa Tu Kufikia Lengo. Na Kama Huyu Wa Sasa Kapewa Basi Haina Muda Ni Juzi Tu Baada Ya Mzee Kuondoka. Tunaona Tu Report Imetoka Ila Chumvi Imekuwa Nyingi Sana!

Muda Waliotumia Kutuambia Yote Ni Mfupi Sana Kulinganisha Na Uzito Wa Mambo Yenyewe!

Kinachoendelea Hapa Ni Fitna...Nchi Imekuwa Ya Mipasho Na Modern Taarab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…