Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

African Proffesors They go to school for Remembering not Thinking, Assad one of them
 
Very incompetent CAG ndio maana wakamtimua anabaki kutafuta huruma tu kwenye media.
Kuna mnazungunza kwa mihemko na uvyama kosa Assad nini kuwa muwazi Nani wa kusimama kupinga kauli ya Rais alie madarakani...Kwa kuwa sasa unajitetegemea wakati unaishi kwenu na wazazi wako ulikuwa unaweza kusimama nakujibishana na wazazi wako kwenye himaya yao??? Kijibu kwa kutafakari sio mihemko Mkuu
 
Yaani selfishness ila sasa anatumia ile egotistic character yake
 
Watanzania wengi hatujielewi...mnakuwa na mahaba ya kijinga...Prf Assad kipindi anatolewa Ofisini wengi tulihamaki na wengi walisema hakupaswa kutolewa ofisini kwani muda ilikuwa bado...
Umeongea fact tupu mkuu, nikupe heko tu! This is the reality, halafu kuna shoga anakuja kumkejeli Assad na kumuita muoga au mnafiki!

Assad ni mtu mzima na pamoja na kuelimika ana hekima sana na weledi! Ukiwa mtu mzima na unafamilia inakutegemea huwezi kufanya upuuzi wa kuhatarisha maisha yako sababu utakaowaacha watateseka bila sababu! Sio kitu ambacho mtu yeyote atapenda kiitokee familia yake.
 
Yaani selfishness ila sasa anatumia ile egotistic character yake
Egostitic character? Kwamba jamaa ana Ego? Mtu mwenye Ego hakubaligi kushindwa mfano mzuri ni migulubaja wenu aliepo ubeligiji
 
Na kama
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja...
Na Kama usipopewa je utafanya Nini.

Huna ujualo.
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Anatetea maslahi ya taifa, na wala hamuattack personal
 
Wewr umemaliza hata LA SABA kweli ?

Au ndio stori za vijiwe vya bange, kuwa enzi za Kikwete watu wakipiga hela zikajaa mtaani.
 
Yule Kenge Mfu na ameshaoza sasa hivi, alikuwa anatumia vitisho na mauaji kuiba
Ametaka kumuua Lisu, Ameshaua Ben Saanane, Azory Gwanda, na wengine wengi waliopotea kwa mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana...
Ataongea akimaliza atakituliza.

reli lazima iishe.
bwawa lazima lijengwe.
taifa lazima liwe na shirika la ndege.

hakuna kiongozi mwenye akili timamu atavuruga hiyo miladi ya magufuli.
 
Katiba katiba katiba katiba katiba katiba katiba katiba katiba. Bila katiba tumekwisha
 
Pumbavu kabisa, ATCL ivunjwe?
Halafu zije kampuni binafsi zijipangie nauli zitakavyo, huo ni ubazazi, hizo kampuni ndio zinaweza kupata faida? Kama jibu ni ndio, kwa nini asishauri namna bira ya uendeshaji ili kupata faida.
Fast Jet ilitoza nauli ndogo sana, precisian air kwenda kigoma walikuwa na nauli shindani, wamekuja atcl na ukiritimba wao wameweka nauli kubwa na kuzuia ushindani!! Hii sio sawa, yote haya kufidia safari za chato ambazo hazina faida yoyote kwa shirika!! Business means vision, sio kukanyaga ushindani
 
Watanzania wengi hatujielewi...mnakuwa na mahaba ya kijinga...Prf Assad kipindi anatolewa Ofisini wengi tulihamaki na wengi walisema hakupaswa kutolewa ofisini kwani muda ilikuwa bado...tulitia shaka sana juu ya maamuzi ya Rais ya kumuengua Assad...
Uko sahihi sana ambao hawajakuelewa warudi shule
 
kumbe assad nae hazimo kajiangusha bwege hili bora lingekaa kimya kulinda heshima yake
 
dhambi ya mema ya makufuli yatawatafuna kama inavyowatafuna walibya kwa kumdhalilisha gadaffi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…