Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
African Proffesors They go to school for Remembering not Thinking, Assad one of them
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mnazungunza kwa mihemko na uvyama kosa Assad nini kuwa muwazi Nani wa kusimama kupinga kauli ya Rais alie madarakani...Kwa kuwa sasa unajitetegemea wakati unaishi kwenu na wazazi wako ulikuwa unaweza kusimama nakujibishana na wazazi wako kwenye himaya yao??? Kijibu kwa kutafakari sio mihemko MkuuVery incompetent CAG ndio maana wakamtimua anabaki kutafuta huruma tu kwenye media.
Yaani selfishness ila sasa anatumia ile egotistic character yakeThats why i told you that, if you have responsibilities and you account for them then you won’t allow any vulnerabilities regarding your state of well being!
You work to feed your family and provide security for them. Why would you do something that would risk your life? Jiwe was an autocratic leader, never gave shit of anybody who messed with his ways and denied the right to expressions on all his subordinates! He even was ready to kill anything that caused him some hinderances during his regime!
Umeongea fact tupu mkuu, nikupe heko tu! This is the reality, halafu kuna shoga anakuja kumkejeli Assad na kumuita muoga au mnafiki!Watanzania wengi hatujielewi...mnakuwa na mahaba ya kijinga...Prf Assad kipindi anatolewa Ofisini wengi tulihamaki na wengi walisema hakupaswa kutolewa ofisini kwani muda ilikuwa bado...
Tena naomba Mh. Rais amrudishe maana alitolewa kwa hujuma kisa kusimamia haki na kuwa mkweliUongo ukiachwa ukawa mkubwa ,watu watauamin .
Assad yuko sahihi, nasasa anawafumbua macho watu sababu za yeye kutolewa nje ya ofsi
Mwachen asemeeeee,
Egostitic character? Kwamba jamaa ana Ego? Mtu mwenye Ego hakubaligi kushindwa mfano mzuri ni migulubaja wenu aliepo ubeligijiYaani selfishness ila sasa anatumia ile egotistic character yake
Na Kama usipopewa je utafanya Nini.Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja...
Anatetea maslahi ya taifa, na wala hamuattack personalBinadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Ndiyo, anapenda kuongea kuwa yeye ni bora kuliko wengine!Egostitic character? Kwamba jamaa ana Ego? Mtu mwenye Ego hakubaligi kushindwa mfano mzuri ni migulubaja wenu aliepo ubeligiji
Anatumiwa na nani?
Acha upumbavu wa kutetea ujinga,watu wapo kwaajili ya maslahi ya nchi siyo mitumbo yenu.
Wewr umemaliza hata LA SABA kweli ?Upigaji wa pesa ya umma ukishamiri huhitaji hata auditor akuambie watu wanapiga pesa. Kipimo rahisi ni wingi wa hela mitaani, urahisi wa kupata pesa na mfumuko wa bei. Watu wenye pesa iliyotokana na upigaji hawaoni shida kumwaga pesa kwa vimada na malaya. Bei ya vitu inaongezeka kirahisi sana when there’s too much money in circulation!
Ataongea akimaliza atakituliza.Yule Kenge Mfu na ameshaoza sasa hivi, alikuwa anatumia vitisho na mauaji kuiba
Ametaka kumuua Lisu, Ameshaua Ben Saanane, Azory Gwanda, na wengine wengi waliopotea kwa mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana...
Fast Jet ilitoza nauli ndogo sana, precisian air kwenda kigoma walikuwa na nauli shindani, wamekuja atcl na ukiritimba wao wameweka nauli kubwa na kuzuia ushindani!! Hii sio sawa, yote haya kufidia safari za chato ambazo hazina faida yoyote kwa shirika!! Business means vision, sio kukanyaga ushindaniPumbavu kabisa, ATCL ivunjwe?
Halafu zije kampuni binafsi zijipangie nauli zitakavyo, huo ni ubazazi, hizo kampuni ndio zinaweza kupata faida? Kama jibu ni ndio, kwa nini asishauri namna bira ya uendeshaji ili kupata faida.
Uko sahihi sana ambao hawajakuelewa warudi shuleWatanzania wengi hatujielewi...mnakuwa na mahaba ya kijinga...Prf Assad kipindi anatolewa Ofisini wengi tulihamaki na wengi walisema hakupaswa kutolewa ofisini kwani muda ilikuwa bado...tulitia shaka sana juu ya maamuzi ya Rais ya kumuengua Assad...
We mwenyewe ulikuwa na kaz ya kusifia tuMbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Wqsimhefanya tendo la ndoa wangepunguza wajinga kama ninyi duniania . ndivyo alivyomaanishaNdo nn,, ww huna wazazi?? Wazazi wanaingiaje humu?? Akili km chembe ya haradali