toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Jiwe alikiwa anaiua Nchi yetu ...
Mungu aliona mbali sana, kumzoa huyu mzeee...
Tukiwaambia watu kushangilia miradi ambayo hawajui mikataba inasema nini ni ujinga wanaona kama tuna chuki na marehemu.
Wazazi wenu wangepeana blow job lingekua wazo bora sana , wangelisaidia taifa
Nadhani wataalamu wa ukaguzi ndio wanapaswa wamjibu sio mm na wewe, mm na wewe tutaendelea kupigwa tu [emoji23][emoji23]Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani, aachae kutumika kisiasa.
Midaharo ya vyuo hufanyikia vyuoni, hapo chuo kimetumika kuhalalisha ujinga. Assad asikigombanishe chuo na serikali wala wananchi. Asimame yeye kama yeye. Kwa alichoropoka Jana, Kwisha habbari yakeMkuu hajamsuta mtu baada ya chuo kikuu cha Dar midahalo yake kuzimwa na wakuu wa chuo kuwa mataga wa kusifu nguvu imehamia chuo cha kiislamu Morogoro ndio huko midahalo inaendelea sasa kuhusu rushwa, Profesa Assad amezindua mdahalo
ATCL inakuzaje utalii ?
Midaharo ya vyuo hufanyikia vyuoni, hapo chuo kimetumika kuhalalisha ujinga. Assad asikigombanishe chuo na serikali wala wananchi. Asimame yeye kama yeye. Kwa alichoropoka Jana, Kwisha habbari yakeMkuu hajamsuta mtu baada ya chuo kikuu cha Dar midahalo yake kuzimwa na wakuu wa chuo kuwa mataga wa kusifu nguvu imehamia chuo cha kiislamu Morogoro ndio huko midahalo inaendelea sasa kuhusu rushwa, Profesa Assad amezindua mdahalo
Kwa hiyo sasa hizo ndege zikishauzwa ndo inakuwaje... au ndo tukakope sasa. Hawa watu wanatumiwa na nani kwani? Kama kosa limeshafanyika, je hiyo njia anayosema ndo njia sahihi ya kutatua tatizo. Mbona mataifa ya ulaya yanamiliki ndege zake wenyewe. Iweje kwetu iwe shida? Itamfaidia nan ndege zikiuwpzwa sasa. Anko Magu, bora hata ufufuke tu jamani, wahaini wameongezeka mtaani huku dah... mtu hujivunii kuwa na chako bali mkopo. Pathetic people... kauze nyumba yako ukapange basi kama unadhani ni jambo sahihi... sijui huyu mzee kalogwa na nani?Nimemsikia Prof Assad, Huyu inatakiwa arudishwe ili aendelee kulitumika taifa.
Amesema ATCL ivunjwe, ndege ziuzwe maana hamna kitu wanafanya.
Mkataba wa Bagamoyo uweke wazi watu wasome na kama kuna vitu vya kukubaliana vinaweza kurekebishwa ili mradi ujengwe.
CAG akishastaafu hawezi kuteuliwa tena kuingia kwenye utumishi wa umma.Huyu Mzee atabaki na heshima yake milele. Mama anaweza kumpa shavu wakati wowote kuanzia sasa.
Jiwe yeye ameondoka kwa aibu na anasindikizwa kaburiki kwake na ufisadi, mauaji, uongo na utekaji. Hakika hana amani huko alipo.
Ulitaka akwambie wew ili iweje?Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Mkuu, hakuitisha press conference. Ilikuwa ni public lecture then baada ya hapo akaulizwa maswali.... Na hayo ndiyo majibu yenyewe.Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Tunaomba kifungu cha sheria kinachosema hivyo. Au ni hisia zako tu!?CAG akishastaafu hawezi kuteuliwa tena kuingia kwenye utumishi wa umma.
mbona naye haeleweki ,tatizo ni kununua ndege kwa cash au tatizo ni uwepo wa ATCL .
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu naye ni mbabaishaji tu. Kwanza, mkataba wa kibiashara sio document ambayo inapaswa kuwa kwenye public domain. Pili, Serikali inawajibika kwa Bunge, ambalo ndio chombo rasmi cha uwakilishi cha mlipakodi. Haiwezekani sisi watu mmoja mmoja tukataka kuisimamia Serikali. Itakuwa chaos kwa kwenda mbele!
Ibara ya 144 (6) mkuuTunaomba kifungu cha sheria kinachosema hivyo. Au ni hisia zako tu!?
Kuna kifungu cha Katiba kinasema Rais ana uwezo wa kumteua mtu yeyote kwa sababu yeyote na hakina masharti. Hivyo hata CAG anaweza kuteuliwa pia.
Hebu nitajie na wewe kifungu kinachompa mamlaka rais kumteua mtu yoyote bila mashartiTunaomba kifungu cha sheria kinachosema hivyo. Au ni hisia zako tu!?
Kuna kifungu cha Katiba kinasema Rais ana uwezo wa kumteua mtu yeyote kwa sababu yeyote na hakina masharti. Hivyo hata CAG anaweza kuteuliwa pia.
Kwa hiyo sasa hizo ndege zikishauzwa ndo inakuwaje... au ndo tukakope sasa. Hawa watu wanatumiwa na nani kwani? Kama kosa limeshafanyika, je hiyo njia anayosema ndo njia sahihi ya kutatua tatizo. Mbona mataifa ya ulaya yanamiliki ndege zake wenyewe. Iweje kwetu iwe shida? Itamfaidia nan ndege zikiuwpzwa sasa. Anko Magu, bora hata ufufuke tu jamani, wahaini wameongezeka mtaani huku dah... mtu hujivunii kuwa na chako bali mkopo. Pathetic people... kauze nyumba yako ukapange basi kama unadhani ni jambo sahihi... sijui huyu mzee kalogwa na nani?
Usitishike na jina Prof... tumia common sense kufikiri. Hauhitaji elimu yoyote kuelewa mambo madogo kama hayo. Kosa limefanyika, sasa tuuze halafu tukakope si ndio?Prof Assad mtu mwenye weledi ameongea mimi ni nani nimbishie Prof?? Labda angekuwa Prof wa majalalani huyo tungeweza kuanzisha mjadala.