Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Hamna hoja yaficha madudu yenu mnataka wanyamaze??

Muda wa kutishana, kusifu ushaisha saivi mnaongea kwa huruuma[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wale wale, ondoka usemwe, huyu ni wa tatu baada ya Kigwangala na Ndugai, so what ? Anafuta huruma kwa nani sasa,? Ikiwa 2+ years alikuwa kimya, namsihi mama Samia awe makini sana na watu wa aina hii.

#kaziIendelee
Usiwe "hardheaded" anaongea haya wakati muafaka kila mtu mwenye akili anamuelewa kikamilifu, kipindi kile kila mmoja alikuwa na hofu kusema chochote, sababu unazijua., ata uyo mama Samia unayetaka awe makini ndani ya huu mwezi mmoja alioapishwa na yeye ameungana na kina hawahawa prof Assad ingawa yeye katumia njia ya indirect kuonyesha weaknesses za mtangulizi wake je na yeye tuseme alikuwa mnafiki kwa vile alikuwa madarakani na mwandazke?

Usiwe na akili mgando waacheni watu wakokomoke muda ni huu sasa. bila ya haya kuja juu yakapatiwa suluhisho hayo maendeleo yenu yatapatikanaje?
 
hawezi kuwa na lolote Assad machoni kwako, ila, at least kwa sasa anaweza kuongea akiwa na hakika ya usalama wa maisha yake. Mzee baba alikuwa hayupo tayar kukosolewa, na ili uwe na guts za kusema mbona Assad hakusema haya kipindi kile, lazma ujue mazingira ya yeyote aliemkosoa ama kuikosoa serikali yake iliishiaje.

tangu aondoke ofini Prf Assad hadi sasa, why Kichele na report yake ya sasa amekuwa na uwazi kuliko za miaka mingine, na ikifichua madudu ya aliyejiita mzalendo?
jawabu ni moja tu, kuna walicho kihofia au waliye muhofia..

Kinacho kusuta ni kimoja tu, ubadhirifu wa utawala uliokuwa ama ukinufaika nao na hadi kuutetea, unawekwa wazi peupeee..
 
Usitishike na jina Prof... tumia common sense kufikiri. Hauhitaji elimu yoyote kuelewa mambo madogo kama hayo. Kosa limefanyika, sasa tuuze halafu tukakope si ndio?

Yeye ameshauri ATCL ifutiliwe mbali na madege yauzwe.

Nini cha kufanya sasa?

Wataalamu wengi walishauri including current CAG.

-Kwenye bodi ya ATCL hakuna hata mtaalamu mmoja mwenye elimu ya kuhusu mambo ya ndege na uendeshaji wake ,sasa unategemea shirika litaendelea wakati inside kuna vilaza?

-Zitto alishauri mwanzoni kabisa biashara ya ndege watu hawanunui kwa cash ,hapo ndipo nakuja kukujibu baada ya kuuza midege ,tuwe na bizness plan ambayo imeandaliwa na wabobezi na jinsi ya kuitekeleza ikiwa inaonyesha jinsi shirika litakavyoundwa upya ,jinsi ya kunua midege(not by cash) ,jinsi ya kuajiri wataalamu(salary zao) ,faida itakayopatikana kulinga na tafiti za sasa etc.
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Kwa kiongozi wa nchi ni shida mkuu lazima watu wata react kwa mabaya yake na mazuri yake aliyofanya hilo ni jambo la kawaida., Viongozi wa nchi wanaacha history sasa nadhan hili jambo halizuiliki., wanaomjua kwa mazuri watasema na wanaomjua kwa mabaya sidhani kama watasita kusema
 
Mtupoli alikua MWIZI, TAPELI, MTESAJI na MUUAJI.
Mnafiki,katili,mbishi na mbinafsi mwenye kisasi kisichoisha.Vetting ya kupata wagombea urais isiishie kwenye vyama pekee,kuwe na Multi Displenary electoral committee kuhakiki wagombea wote.Tungeepuka majanga aliyotuletea Jiwe hapa nchini.
Mgombea Urais anapiga pushup jukwaani,anagawa fedha cash barabarani,aruke kupitia Car Roof au anakimbia mita 100 bila maandalizi ilhali moyo wake una Pace Maker na wote tunakenua meno au kushangilia!Kuna vitu ukivitenda hadharani tunakupa Diagnosis.
Watanzania tudai Katiba Mpya ya Wananchi na tusikubali kuambiwa tusubiri tena.
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Ndio mana kiongozi anatakiwa awe muadilifu ili siku akifa watu wamseme kwa mazuri, huwezi kuzuia kiongozi wa nchi aliyekuwa watu wabaki kimya tu, ata mimi na wewe tutende mema ili tuje tusemwe kwa mema zaidi
 
Sasa naww mbona huna akili. Hebu tuchukulie mfano. Umenunua kiwanja cha kujenga ofisi yako au nyumba lakini baada ukagundua kuwa kiwanja hicho ulikinunua kwa haraka haraka sana, labda hukutafakari njia nzuri ya kukinunua na labda hukujua kama utaweza kujenga hiyo ofisi au nyumba.

Sasa ukasema ngoja nikiuze kiwanja halafu nijipange tena na upya kufanya utaratibu wa kununua kiwanja hiko hiko ili nijenge ofisi... unadhani ina make sense... sijui hata kama unanielewa
 
Hao ndio ma Professor wetu hawana mawazo ya kujenga Taifa ,wanachowaza ni mishahara kwa mwezi. Yeye ni msoni mzuri huwezi sikia anasema ATCL miaka hii tumekula hasara, tufanye hivi tuimarishe shirika letu liwe shirika shindani duniani na tupate faida, ni bora hata watu wa darasa la saba wanaweza wakasimamia kampuni na ikaendelea kuliko hizi ngonjera za ma professor wetu. Leo hii Jirani zetu ethiopia wana sherekea miaka 75 ya shirika lao la ethiopia airways kuwa angani, wanajivunia, sisi Rais kawanunulia watanzania mil60 ndege 8 na zingine 3 ambazo hazijawasili bado hatuwezi kuendesha shirika hili, sasa elimu zetu zinatusaidia nini? kubishana tu mitandaoni?, hivi kweli sisi watanzania tunashindwa kuendesha shirika hili la ATCL? ATCL hatuwezi endesha, TTCL hatuwezi, Reli tuliua tukakimbilia kwenye malori, viwanda tulikula vyote tukakimbilia kuagiza mizigo china, bandari hatuwezi endesha, elimu hatuwezi at the same time kila siku wana post kumlaumu magufuli eti hakuajiri watanzania, mnataka ajira zipi wakati huo hamtaki kusimamia makampuni yetu yakuwe na kuajiri watanzania wengi? hamuwezi kuwaza ajira za ualimu ,nurse na halmashauri tu? ni lazima tujifunze kwa kila aina kusimamia makampuni yetu yakuwe na yatoe ajira kwa watanzania wengi, sasa Professor anaposema ndege ziuzwe anafikiri vijana walioajiriwa ATCL waende wapi? suppliers wachakula ATCL wata muuzia nani? wakala wa tickets ATCL wafanyakazi wake waende wapi?, utakuta mtu ana bwabwaja tu eti hakuna faida, hivi hamuoni chain ndefu ya watanzania wenzetu wanalisha familia zao kwa uwepo wa ATCL?
 

Mfano wako hauendani na hili,halafu jenga hoja matusi hayafai kwenye mijadala,kutumia matusi inaoneysha unaendeshwa na mihemko na mahaba/unazi wa chama,tambua tumetumia zaidi ya trilioni 2 kununua midege , kwasasa midege na shirika linatutuia hasara solution ni kufutiliwa mbali na midege kuuzwa, kwasasa hauwezi kufanya chochote kututoa kwenye hasara au kulinusuru shirika maana tulishavurunda kwenye msingi(Foundation)...CAG alichoshauri ni kuvunja nyumba yote na kujenga msingi upya ,kuendelea kurepair ufa wakati msingi mbovu ni kujidanganya nadhani umenielewa.

Njia waliyopendekeza ni kulifutilia mbali shirika.(Kuvunja nyumba yote yenye msingi mbovu ,msingi hauna zege ,msingi hauna nondo ,msingi hauna mawe ,msingi hauna blinding etc) hata ukijenga juu ya msingi mbovu hakuna kitu ni kendelea kupata hasara kwenye maintanance ya nyumba maana cracks ,fungus ,hazitokuacha salama.
 
Ndugu, kama mzee kafufua shirika 2016 sijui, hivi hiyo faida ya haraka haraka inatoka wapi??? Na tayari ilikuwa inajiendesha kwa hasara tangu awali. Ni wajinga tu ndo wanaweza kuropoka ushenzi wanaoufanya asahivi.

Angekuwa mtu wa maana kama angetoa way forward. Uuze ndege ili iweje sasa. Tuuze nchi yote basi, SGR, MELI ZOTE, MADARAJA, BARABARA ZA LAMI, NGUZO ZOTE ZA UMEME, VITUO VYA AFYA NA HOSP NCHI NZIMA nazo tuzivunje tuanze na upya.... nmechukia sana... hakika nmechukia sana... na alaaniwe kama yeye na wote wenye akili kama zake
 
Hili zee jinga... Halina integrity waka confidentiality. Bure kabisa kama mavi ya kuku.
 
Ikiwa mnasema ndege hazinunuliwi kwa cash unataka kumuuzia nani...?
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Acha unyang'au pimbi ww huyo marehemu ndio alikuwa anawasema hadi marehemu au umesahau, pia ni marehemu huyohuyo aliyesababisha wengine kuwa marehemu.



Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Huo ni utaratibu wa jiwe na haupo kisheria

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Alipokuwa hai naye alifanya hayo hayo ya kuwasuta wengine akijua fika hawawezi kujibu mana ukijibu tu alikuwa anakupoteza. Wacha na yeye alipwe kwa matendo yake.
 
Utakuwa mnafaika wa jiwe wewe sio bure

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Ndio nini,, wewe huna wazazi?? Wazazi wanaingiaje humu?? Akili kama chembe ya haradali
Wazazi wengine huwa wanazaa hasara kwakweli, wazazi wako kwako walipata hasara,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…