Marehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea. Tutasikia mengi. Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu. Marehemu alisema ohh!!!Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Humjui Assad weweMbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Mkuu hajamsuta mtu baada ya chuo kikuu cha Dar midahalo yake kuzimwa na wakuu wa chuo kuwa mataga wa kusifu nguvu imehamia chuo cha kiislamu Morogoro ndio huko midahalo inaendelea sasa kuhusu rushwa, Profesa Assad amezindua mdahaloBinadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Mkuu Assad huyu aliyekataa ni nani ?Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Mwehu huyo, huyu wa sasa alipewa na nani? Maana wakati anakagua bado hayati alikuwepo
Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani.. aachae kutumika kisiasa.
Wazazi wenu wangepeana blow job lingekua wazo bora sana , wangelisaidia taifaWale wale,ondoka usemwe,huyu ni wa tatu baada ya magwangala na zero brain Ndugai,so what ? Anafuta huruma kwa nani sasa,? Ikiwa 2+ alikuwa kimya,namsihi mama samia awe makini sana na watu wa aina hii.
#kaziIendelee
Namfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKEHumjui Assad wewe
Ndio nini,, wewe huna wazazi?? Wazazi wanaingiaje humu?? Akili kama chembe ya haradaliWazazi wenu wangepeana blow job lingekua wazo bora sana , wangelisaidia taifa
ATCL ilikuwa na madeni makubwa ya huko nyuma pesa zingeingia akaunti ya ATCL zingelambwa zote na wadai wengine wakiwa hewa.Serikali ndio ikazinunua na kuzikodisha kwa ATCLUsilolijua ni usiku wa giza
Air Tanzania ina lease ndege...manunuzi yake hayapo ATCL..
Ss sijui km ht unaelewa ku'lease ni nini
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Kunywa maji mjane.. Makenge mfu ya kijani nyie hamna faida yoyote.Namfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Wale wale,ondoka usemwe,huyu ni wa tatu baada ya magwangala na zero brain Ndugai,so what ? Anafuta huruma kwa nani sasa,? Ikiwa 2+ alikuwa kimya,namsihi mama samia awe makini sana na watu wa aina hii.
#kaziIendelee