Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Kuna meli moja bwan mkubwa mwenda zake alisimamia alinunua akiwa Waziri wa ujenzi na uchukuzi alipokuwa Rais ili meli ile isisemwe sana kuwa ni mbovu aliikabidhi kwa jeshi-JWTZ, akasema kwa sasa meli hii ni sawa sawa na vifaru vya jeshi atakayeiongelea shauri zake
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Mkuu hajamsuta mtu baada ya chuo kikuu cha Dar midahalo yake kuzimwa na wakuu wa chuo kuwa mataga wa kusifu nguvu imehamia chuo cha kiislamu Morogoro ndio huko midahalo inaendelea sasa kuhusu rushwa, Profesa Assad amezindua mdahalo
 
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini

Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga

Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua

Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu
Mkuu Assad huyu aliyekataa ni nani ?
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Mwehu huyo, huyu wa sasa alipewa na nani? Maana wakati anakagua bado hayati alikuwepo
Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani.. aachae kutumika kisiasa.
Wale wale,ondoka usemwe,huyu ni wa tatu baada ya magwangala na zero brain Ndugai,so what ? Anafuta huruma kwa nani sasa,? Ikiwa 2+ alikuwa kimya,namsihi mama samia awe makini sana na watu wa aina hii.

#kaziIendelee
Wazazi wenu wangepeana blow job lingekua wazo bora sana , wangelisaidia taifa
 
Usilolijua ni usiku wa giza
Air Tanzania ina lease ndege...manunuzi yake hayapo ATCL..

Ss sijui km ht unaelewa ku'lease ni nini
ATCL ilikuwa na madeni makubwa ya huko nyuma pesa zingeingia akaunti ya ATCL zingelambwa zote na wadai wengine wakiwa hewa.Serikali ndio ikazinunua na kuzikodisha kwa ATCL
 
Huo mkataba wa kununua ndege uwekwe wazi. Haiwezekani serikali ikaweka sharti la Siri la mkataba na kampuni ya Boeing kama hakuna hujuma. Si kawaida Boeing kuficha taarifa za ununuzi wa ndege zake kwa wateja. Possibility ni kuwa tulizidisha fedha ili kuzipata hizo ndege mapema.
 
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji.

Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
 
Back
Top Bottom