Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Usilolijua ni usiku wa giza
Air Tanzania ina lease ndege...manunuzi yake hayapo ATCL..

Ss sijui km ht unaelewa ku'lease ni nini
Kwa hiyo neno ku'lease ndilo linakufanya umuone mwenzako mjinga ikiwa halielewi! Kwani ukiandika 'kukodi' utakuwa mshamba! Acheni utumwa wa kifikra. Kujua kiingereza kusikufanye uwadharau wengine. Huo nao ni upoyoyo.
 
Ukiwa Kiongozi you have only two options
1) Kubali kusemaa Ukiwa madarakani
2) Subiri kusemwa ukishaondoka madarakan

Nyerere na JPM walichagua option ya pili
Ndo hapo inashangaza watu wanaposhangaa kusemwa kwa mwendazake akiwa kafariki

Hakuna kipya ni lazima ingekua hivi tu hata angekua hai. Muda ambao angeachia madaraka tu watu wangeanza kusema
 
True, tuwe na heshma na ubinadamu wake hata kama hatukukubaliana na baadhi ya approach zake
Mh hebu kuwa na hofu ya Mungu. Hata wewe ni Mzoga mtarajiwa! Unajua umebakisha mda gani wa Kuringa hapa Duniani? Have some Respect yule ni Baba wa mtu na wanaumia kuona such Comments kwa Mzazi wao.
 
Kila mtu anajua hiyo Issue Ofisi ya NAO

Ilikuwa analazimishwa aitishe Press conference akanushe ile Scandle ya 1.5 Trillion pamoja na kukana udhaifu wa Bunge aliosema
Naona alivyogoma kabisa ndo wakammezesha Polepole aje atetee 1.5T😀😀😀😀
 
Ukiwa Kiongozi you have only two options
1) Kubali kusemaa Ukiwa madarakani
2) Subiri kusemwa ukishaondoka madarakan

Nyerere na JPM walichagua option ya pili
At least Nyerere was a brave enough kukubali makosa ya undeshaji kwenye utawala wake
and he earned commendation and respect worldwide for stepping aside.
Huyu yeye alikuwa anatishia watu maisha yao, na alitaka aabudiwe kama mungu kwamba hakuna kama yeye,
JK Nyerere never ever kutaka kuabidiwa kwamba hakuna atakaweyeweza kuongaza nchi zaidi yake yeye.
 
Hatimaye sasa watu wameondolewa goti shingoni, sasa wanaweza kupumua na kusema...
 
ATCL ivunjwe utalii utaukuza kwa ma.takle yako?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mh WANGU mama SSH , sitomuelewa Kama atashindwa kutumia vichwa vya aina hii ya pro Assad, ni Kati ya mtu mwanzo niliandika apa Jamvin, kwamba alitufaa Sana hata kuaVP, Ndugu na jamaa apa Jamvin wakaanza Mara rais ,waziri MKUU , vp hawawezi kua wote dini moja, Sasa Kama unapata WATU wenye uwezo wa fikra , na utashi wa kweli wa kulitumikia Taifa unashindwaje kuwatumia kisa dini, ifike mda haya Mambo ya imani zetu yasiingilie utendaji hatuwezi fika tunapopahitaji Kama Taifa, kwa kuwa na WATU walewale , low IQ people,s KATIKA mfumo ,we need strong people, like prof Assad
 
mbona naye haeleweki ,tatizo ni kununua ndege kwa cash au tatizo ni uwepo wa ATCL .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa nchi wa wakati huo alituhujum sana ndo maana watu walijichotea kodi zetu bila huruma ukiitazama ripoti ya CAG
 
Mwehu huyo, huyu wa sasa alipewa na nani? Maana wakati anakagua bado hayati alikuwepo
Kichwa chako kinachanganya,kukoroga pamoja na kushindwa kuchakata taarifa,
Au tena yanayojadiliwa yapo nje ya upeo wako,
Ingependeza ukikaa kimya tu.
 
mleta mada, umechanganya madawa Assad Kasema aliomba nyaraka za SGR, Stieglers na Ndege na siyo bandari ya bagamoyo

Msikilize alichosema hapa:

Huyu Mzee atabaki na heshima yake milele. Mama anaweza kumpa shavu wakati wowote kuanzia sasa.

Jiwe yeye ameondoka kwa aibu na anasindikizwa kaburiki kwake na ufisadi, mauaji, uongo na utekaji. Hakika hana amani huko alipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…