21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Tulia dawa ikuingie
Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani.. aachae kutumika kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani.. aachae kutumika kisiasa.
Tatizo lenu mataga ndio hapo yaani mtu unakurupuka utadhani mtu anayejisaidia kichakani!!Prof, assad analalamikia kunyimwa mikataba, kwani kwenye ripoti hii ya 2019/2020, kuna sehemu CAG, amezungumzia juu ya mikataba hiyo(kuwa ameiona)?yeye amekagua taarifa za kifedha, na kiuendeshaji basi,Mwehu huyo, huyu wa sasa alipewa na nani? Maana wakati anakagua bado hayati alikuwepo
Kumbe porofesa ni fisadi?Ukisoma historia yake huko nyuma alikuwa kwenye syndicate iliyoifilisi NSSF!!! Je mlimsikia anafoka hivyo enzi ya Kikwete? Ameanza kusikika zaidi baada ya ile syndicate yao ya NSSF kubomolewa na Kikwete kuondoka madarakani. Unajua kwanini?
Acha propaganda.Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Maneno yako yanakigugumizi. Kifupi nakushangaa, nani aseme eti kwa kuwapigania watu kama wewe. Hata mimi ningekaa kimya, kwani watu kama nyie mnafikiri CAG apigane peke yake kuikomboa nchi hii.Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Hata kama amefariki lazima tuseme ili waliopo wajifunzeProfesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.
Unawafahamu ambao hawakukaa kimya? Ambao si wanafiki....Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
unatakaMarehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea .Tutasikia mengi.Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu.msrehemu alisema ohh !!!
hasingiziwi, hizo ni tabia za jiwe kweli hata mimi naamini, hii haiitaji kuthibitishwa, jiweMarehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea .Tutasikia mengi.Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu.msrehemu alisema ohh !!!
Marehemu alikuwa shida sana.acha kazi iendeleeWale wale,ondoka usemwe,huyu ni wa tatu baada ya magwangala na zero brain Ndugai,so what ? Anafuta huruma kwa nani sasa,? Ikiwa 2+ alikuwa kimya,namsihi mama samia awe makini sana na watu wa aina hii.
#kaziIendelee
Sasa kwani huyu CAG wa sasa yeye alizotoa wapi?Prof Assad kuna jambo anatupa ishara hapa kuhusiana na hizo nyaraka kufichwa ikulu, kwa wenye akili wanaelewa ishara anayotoa.
Na pengine marehemu alishazichoma moto kitambo.
1. JK - 'mimi nilikuwa simchukii JPM'Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.
===
Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ninvitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.
Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.
Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary...
Muda tu ndio utaamua na hivi kuna timu ya Bwana yule na timu ya bwana huyu mambo yatakuwa hadharani kutokana na minyukano unayo endeleaHuo mkataba wa kununua ndege uwekwe wazi. Haiwezekani serikali ikaweka sharti la Siri la mkataba na kampuni ya Boeing kama hakuna hujuma. Si kawaida Boeing kuficha taarifa za ununuzi wa ndege zake kwa wateja. Possibility ni kuwa tulizidisha fedha ili kuzipata hizo ndege mapema.
Alikuwa bize na Mambo yake. Leo aliulizwa na Wana habari ndo mana akasemaPorofesa anatafuta kick, alikuwa wapi siku zote hadi kashindwa kusema?
Kwanza pole huenda ni mmoja wa majeruhi,Jpm anabaki kuwa mmoja wa Marais Bora,aliyewaelewa vyema watu wake na akafanya kutokana na jinsi watu wake walivyo,Wa tz hajui wanataka Nini,ili kuwaongoza inabidi kiongozi ndo ajiongeze kufanya mambo kwa maslahi yao.Hata kama amefariki lazima tuseme ili waliopo wajifunze
1. Alikuwa mtu mwenye roho mbaya, mshenzi, muuaji na aliyependa kuona watu wenye maendeleo au waliotofautiana nae wakiteseka sana. Mfano wa haya ni kwa vile walivyowafanyia Manji, Erick Kabendera, Ben saanane, Rwabaje, Mama yake Erick Kabendera, Mdude Nyangali, Zacharia na watu wengine wengi
2. Alikuwa mtu Mbinafsi sana, aliyependa sifa zote zirudi kwake. Alipenda kusifiwa, kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake. Hata kwenye hotuba zake alipenda kujionesha ni yeye zaidi na wala sio wenzake. Rejea hotuba alizokuwa akisema bila yeye miradi haitofanikiwa. Aliwapa vyeo bila aibu watu waliokuwa wakimsifu yeye binafsi. Mf. Katambi, Sabaya, kafulila, Mrema, Babu
3. Alikuwa mkabila na mbaguzi wa kikanda aliyetukuka. Kwenye awamu yake alijaza watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma na mapandikizi wenzake kutoka Rwanda na Burundi kwenye nafasi nyeti serikalini. Bashiru, Kakoko, Doto James na wengineo wengi ni mifano michache tu. Hawa watu walikuwa hawagusiki na waliweza kufanya lolote lile kwa jina lake na yeye hakusema lolote. Hawa watu waliweza hata kuwadharau waziwazi Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na wala hawakujali mfumo wa utendaji serikalini. Waliweza kupiga simu au kupita moja Kwa moja ikulu hadi kwa Magufuli bila kupita kwa waziri, waziri mkuu au hata Makamu wa Rais.
4. Kwa kujua kwake kuwa ni kweli aliharibu uchumi wa nchi kwa sera zake mbaya, aliwekeza sana kwenye propaganda za kujitangaza sana kupitia vyombo vya Habari ili kuwa brainwash watu wasiofikiri vizuri. Tv zote, magazeti, blogu na hata viongozi wa dini aliwatumia kumtangaza yeye muda wote na kumsifu yeye muda wote ili aonekane ni Bora kuliko wenzake. Ofisi za Taifa zilifanywa kutengeneza data za uongo ili aonekane anafanya vizuri kumbe nchi ilikuwa inaenda pabaya sana. Rejea taarifa aliyotoaga kuwa ATCL inapata faida ya bil 28.
5. Aliwadharau sana wenzake. Na alifanya kila jitihada wenzake waonekane watu wasiofaa ( hasa viongozi waliopita). Aliishi nao kiunafiki akiwatumia vijana wake Kama Msiba, Sabaya , Makonda na Aly Happi kuwatukana na kuwatisha ili aharibu taswira yao kwa jamii na ajitengeneze kuwa ni Bora kuliko wao.
6. Alianzisha mambo ili kuwakomoa watu waliokuwa tofauti nae. As Kofi niwemugizi, Aidan Eyakuze, Yusuph Manji ni wachache kwenye hii list, walianza kuhojiwa uraia, wakanyang’anywa passport na kupewa kesi mbalimbali ili kukomolewa kutokana na kutofautiana nae.
7. Kwa sera zake mbovu, aliharibu kwa kiasi kikubwa uchumi hivyo kupelekea kuwepo tatizo kubwa la ajira . Ili kujiokoa na Tatizo hili Kwa kuwapumbaza watanzania wajinga alianzisha utaratibu wa kujifanya kuwa karibu na Mama lishe na bodaboda huku akisema kuwa wanaruhusiwa kufanya Biashara popote pale. Alifanya hili Kwa sababu alijua kabisa kuwa ameharibu uchumi wa Tanzania na amesababisha watu wengi kukosa ajira. Kuepuka lawama akataka kuifanya nchi nzima kuwa nchi ya wachuuzi huku akiharibu mipango miji na kusababisha walipa kodi wapungue kwa kasi.
8. Kutokana na kuwa na sera mbovu za kiuchumi huku akiiba Mali za watanzania Kwa kigezo cha uzalendo, akiogopa kupinduliwa na jeshi na wasaidizi wake, aliamua kufuatilia maongezi ya wasaidizi wake wote akiwemo Makamu wa Raisi , Mawaziri na viongozi wa Ccm. Alikuwa hadi meseji zao anasoma na alivyo mshamba alikiri hadharani kuwa anafuatilia mawasiliano ya watu. Alianzisha pia utaratibu wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa nae popote pale anapokuwepo. Huu utaratibu ulikuja kuonekana katika awamu ya 5 tu maana Kwa awamu ya 1 hadi ya 4 haikuwai kutokea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na spika na Jaji mkuu kuambatana na Rais popote pale anapokuwa.
9. Alikuwa muuaji
Niliwai bishia watu wengi kwenye hili ila nilikuja kuthibitisha alipokuja tamka hadharani kuwa huwezi kuwa msaliti alafu uka survive na baada ya hotuba yake iyo Tundu Lissu alikuja kushambuliwa kwa Risasi 38 huku 16 zikiingia mwilini wake.
10. Alijiona ni Bora kuliko mtu yeyote yule na alitaka neno lake ndo liwe mwisho. Alisema hadharani kuwa hashauriki na kila mtu aliyekuwa akimshauri alimchukulia kama adui yake. Siku za mwisho za uhai wake alitofautiana na kupingana Hadi na viongozi wa dini wa kanisa katoliki ambao waliamua kushauri nchi kuchukua hatua tofauti dhidi ya corona.
Mungu fundi sana! Alale anapostahili mwendazake.
Hivi eneo linapopaswa kujengwa Bagamoyo EPZA si tayari watu walilipwa hela za fidia???Tuwe wakweli huyu Assad naye alikuwa na matatizo mfano nyaraka za bandari ya bagamoyo alizitaka za nini wakati ilikuwa watendaji wako tu kwenye hatua za majadiliano ambayo.hata hayajafikia muafaka wowote? Alitaka za nini kama sio umbeya tu? Alitaka apewe minute za vikao ambazo havijamua chochote? Alizitaka za nini? Chukulia hata CAG wa sasa aombe nyaraka za bandari hewa ya bagamoyo .Kichwani kwake zitakuwa zimo kweli?
Akinyimwa aseme Raisi anataka kunitoa.Huo utoto
Asante sanaHata kama amefariki lazima tuseme ili waliopo wajifunze
1. Alikuwa mtu mwenye roho mbaya, mshenzi, muuaji na aliyependa kuona watu wenye maendeleo au waliotofautiana nae wakiteseka sana. Mfano wa haya ni kwa vile walivyowafanyia Manji, Erick Kabendera, Ben saanane, Rwabaje, Mama yake Erick Kabendera, Mdude Nyangali, Zacharia na watu wengine wengi
2. Alikuwa mtu Mbinafsi sana, aliyependa sifa zote zirudi kwake. Alipenda kusifiwa, kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake. Hata kwenye hotuba zake alipenda kujionesha ni yeye zaidi na wala sio wenzake. Rejea hotuba alizokuwa akisema bila yeye miradi haitofanikiwa. Aliwapa vyeo bila aibu watu waliokuwa wakimsifu yeye binafsi. Mf. Katambi, Sabaya, kafulila, Mrema, Babu
3. Alikuwa mkabila na mbaguzi wa kikanda aliyetukuka. Kwenye awamu yake alijaza watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma na mapandikizi wenzake kutoka Rwanda na Burundi kwenye nafasi nyeti serikalini. Bashiru, Kakoko, Doto James na wengineo wengi ni mifano michache tu. Hawa watu walikuwa hawagusiki na waliweza kufanya lolote lile kwa jina lake na yeye hakusema lolote. Hawa watu waliweza hata kuwadharau waziwazi Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na wala hawakujali mfumo wa utendaji serikalini. Waliweza kupiga simu au kupita moja Kwa moja ikulu hadi kwa Magufuli bila kupita kwa waziri, waziri mkuu au hata Makamu wa Rais.
4. Kwa kujua kwake kuwa ni kweli aliharibu uchumi wa nchi kwa sera zake mbaya, aliwekeza sana kwenye propaganda za kujitangaza sana kupitia vyombo vya Habari ili kuwa brainwash watu wasiofikiri vizuri. Tv zote, magazeti, blogu na hata viongozi wa dini aliwatumia kumtangaza yeye muda wote na kumsifu yeye muda wote ili aonekane ni Bora kuliko wenzake. Ofisi za Taifa zilifanywa kutengeneza data za uongo ili aonekane anafanya vizuri kumbe nchi ilikuwa inaenda pabaya sana. Rejea taarifa aliyotoaga kuwa ATCL inapata faida ya bil 28.
5. Aliwadharau sana wenzake. Na alifanya kila jitihada wenzake waonekane watu wasiofaa ( hasa viongozi waliopita). Aliishi nao kiunafiki akiwatumia vijana wake Kama Msiba, Sabaya , Makonda na Aly Happi kuwatukana na kuwatisha ili aharibu taswira yao kwa jamii na ajitengeneze kuwa ni Bora kuliko wao.
6. Alianzisha mambo ili kuwakomoa watu waliokuwa tofauti nae. As Kofi niwemugizi, Aidan Eyakuze, Yusuph Manji ni wachache kwenye hii list, walianza kuhojiwa uraia, wakanyang’anywa passport na kupewa kesi mbalimbali ili kukomolewa kutokana na kutofautiana nae.
7. Kwa sera zake mbovu, aliharibu kwa kiasi kikubwa uchumi hivyo kupelekea kuwepo tatizo kubwa la ajira . Ili kujiokoa na Tatizo hili Kwa kuwapumbaza watanzania wajinga alianzisha utaratibu wa kujifanya kuwa karibu na Mama lishe na bodaboda huku akisema kuwa wanaruhusiwa kufanya Biashara popote pale. Alifanya hili Kwa sababu alijua kabisa kuwa ameharibu uchumi wa Tanzania na amesababisha watu wengi kukosa ajira. Kuepuka lawama akataka kuifanya nchi nzima kuwa nchi ya wachuuzi huku akiharibu mipango miji na kusababisha walipa kodi wapungue kwa kasi.
8. Kutokana na kuwa na sera mbovu za kiuchumi huku akiiba Mali za watanzania Kwa kigezo cha uzalendo, akiogopa kupinduliwa na jeshi na wasaidizi wake, aliamua kufuatilia maongezi ya wasaidizi wake wote akiwemo Makamu wa Raisi , Mawaziri na viongozi wa Ccm. Alikuwa hadi meseji zao anasoma na alivyo mshamba alikiri hadharani kuwa anafuatilia mawasiliano ya watu. Alianzisha pia utaratibu wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa nae popote pale anapokuwepo. Huu utaratibu ulikuja kuonekana katika awamu ya 5 tu maana Kwa awamu ya 1 hadi ya 4 haikuwai kutokea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na spika na Jaji mkuu kuambatana na Rais popote pale anapokuwa.
9. Alikuwa muuaji
Niliwai bishia watu wengi kwenye hili ila nilikuja kuthibitisha alipokuja tamka hadharani kuwa huwezi kuwa msaliti alafu uka survive na baada ya hotuba yake iyo Tundu Lissu alikuja kushambuliwa kwa Risasi 38 huku 16 zikiingia mwilini wake.
10. Alijiona ni Bora kuliko mtu yeyote yule na alitaka neno lake ndo liwe mwisho. Alisema hadharani kuwa hashauriki na kila mtu aliyekuwa akimshauri alimchukulia kama adui yake. Siku za mwisho za uhai wake alitofautiana na kupingana Hadi na viongozi wa dini wa kanisa katoliki ambao waliamua kushauri nchi kuchukua hatua tofauti dhidi ya corona.
Mungu fundi sana! Alale anapostahili mwendazake.
Hakuitisha press kwa sababu uliyoisema. Alikuwa anatoa mada tofauti kabisa huko chuoni anakofundisha. Baada ya mada Wana habari wakamuuliza maswali ndo akajibu hivyoBinadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Anajisahau kuwa alusha hand over office ya CAG kwa mtu mwingine.Unspo hand over una hand over kils kitu ikiwemo reports .Sasa kama ali hand over report kuwa hakupewa document fulani hiyo inakuwa jukumu la CAG mpya kulichukulia kama pending work
Alisha hand over a shut up kuongelea ya office ya CAG amwachie aliyepo ayaongelee.Hana Authority ya kuongelea mambo ya ofisi ya CAG akiwa alishatoka.Alikabidhi basi