Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

We Ku.ma endelea kuhangaika na mitandao mi nilikua sitegemei Mtu mzee Salary yangu inangia kila mwezi na enjoy maisha hii nafasi niliopo hata aje Rais gani nitaendelea ku enjoy na kula bata
kumbe unategemea salary na wewe ni mnyonge tu pole kwa kufiwa umbwa yoyote anayemshabikia Jiwe ni Opium tu hamna kitu
 
Hii nchi ilipitia pagumu sana! Huyu nae ni muwakilishi wa wananchi kule bungeni!
2525477_120041101_3360033017421700_256927606636531134_o-1-650x450.jpg
 
Siku zote nasema huyu Profesa ana elimu lakini hana maarifa
Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa

Ulishamalizana nao basi.sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi.Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengin
 
Mh hebu kuwa na hofu ya Mungu! Unamuita Mzoga alieoZa, hata wewe ni Mzoga mtarajiwa! Unajua umebakisha mda gani wa Kuringa hapa Duniani? Have some Respect yule ni Baba wa mtu na wanaumia kuona such Comments kwa Mpendwa wao.
Na familia ya Azory Gwanda, na ya Ben Saanane aliwaambia nini......
Na watu waliokufa na tetemeko la Kagera, alisema nini.....
Akafe mbele tu
Mimi siogopi kufa wala kuoza, ni lifecycle ya binadamu...
 
Nimemsikia Prof Assad ,Huyu inatakiwa arudishwe ili aendelee kulitumika taifa.

Amesema ATCL ivunjwe ,ndege ziuzwe maana hamna kitu wanafanya.

Mkataba wa bagamoyo uweke wazi watu wasome na kama kuna vitu vya kukubaliana vinaweza kurekebishwa ili mradi ujengwe.
Ila naanza kunusa harufu ya kuondoka kwa utawala wa kidikteta na kurudi kwa utawala wa mlegezo. Kikwete yupo active sana na kila kinachosemwa sasa hivi ni calculated movie yake. Huu mradi wa Bagamoyo unapigiwa debe sana na pro Kikwete na haikuna wa kuuzuia. Ni mkataba mbovu wa kuiuza nchi yetu. Wananchi tusidhani kina Ndugai wanatupenda sana kiasi ambacho wanapenda kutuletea vitu vyenye faida.
 
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.

Tulia mzee bashiruu
 
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini

Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga

Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua

Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu
Ikulu haikaguliwa wee MZEE,kama Kuna watu waoga nawe ni mmoja wao,mnapambana na aliyetangulia mbele ya haki siku zote ulikua wapi? Bagamoyo Kuna bandari?
 
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine

Ukisoma historia yake huko nyuma alikuwa kwenye syndicate iliyoifilisi NSSF!!! Je mlimsikia anafoka hivyo enzi ya Kikwete? Ameanza kusikika zaidi baada ya ile syndicate yao ya NSSF kubomolewa na Kikwete kuondoka madarakani. Unajua kwanini? Utamaduni wa kiafrika unapokula hufunui mdomo wako.!
 
Back
Top Bottom