Kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani ikiwemo kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote, kupiga marufuku mikutano ya siasa na mabaya mengineyo kibaoHuyu Mzee atabaki na heshima yake milele. Mama anaweza kumpa shavu wakati wowote kuanzia sasa.
Jiwe yeye ameondoka kwa aibu na anasindikizwa kaburiki kwake na ufisadi, mauaji, uongo na utekaji. Hakika hana amani huko alipo.
Alikuwa na ubabe wa kishamba sana.Kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani ikiwemo kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote, kupiga marufuku mikutano ya siasa na mabaya mengineyo kibao
A na B yote sawa,mbona naye haeleweki ,tatizo ni kununua ndege kwa cash au tatizo ni uwepo wa ATCL .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwabambikia kesi wapinzani uonevu kwa wafanyabiashara kutumia task force kupora pesa zao kuwabambikia kodi kutumia Sheria mbovu ya uhujumu uchumi kuwakomoa watu ni vitu anasingiziwa? ni kwa nini hamtaki marehemu akubali mapungufu udhaifu wake kipindi akiwa madarakani ili waliosalia wapate kujifunza kutenda wemaMarehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea .Tutasikia mengi.Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu.msrehemu alisema ohh !!!
Cha ajabu wapo wanufaika wa Ubabe wake udikiteta wake ndiyo wanakesha mitandaoni kumteteaAlikuwa na ubabe wa kishamba sana.
Haya leo kiko wapi sasa!!!
Ununuzi wa Ndege kwa cash maana yake ni ufisadi maana mnunuzi kachukua 10% yake cash kwa Siri ndiyo maana mikataba ikafichwa sanaHuo mkataba wa kununua ndege uwekwe wazi. Haiwezekani serikali ikaweka sharti la Siri la mkataba na kampuni ya Boeing kama hakuna hujuma. Si kawaida Boeing kuficha taarifa za ununuzi wa ndege zake kwa wateja. Possibility ni kuwa tulizidisha fedha ili kuzipata hizo ndege mapema.
Shida ipo na ilikuwepo kubwa zaidi ambayo sasa Rais mpya yupo mbioni kuimaliza, magufuli hakuwa mzalendo alitawala kwa propaganda za kuwajali wanyonge kumbe alikuwa ni fisadi mkubwa zaidiHuyu profesa anaonyesha ni mtu mwenye maadili na nidhamu ya kazi yake.
Kama amezungumza hivyo kuna shida kubwa sana ameiona ukizingatia ni mtaalamu mbobezi wa hesabu za fedha
Ya Bagamoyo ili sainia lini , kabla ua huyu wa Awamu ya Tano au wa Awamu ya 4.Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.
===
Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ninvitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.
Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.
Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary...
Tujifunze kusema mabaya ya marehemu ili waliopo hai wapate kujifunza kutenda wema DunianiMh hebu kuwa na hofu ya Mungu. Hata wewe ni Mzoga mtarajiwa! Unajua umebakisha mda gani wa Kuringa hapa Duniani? Have some Respect yule ni Baba wa mtu na wanaumia kuona such Comments kwa Mzazi wao.
Ya Bagamoyo ili sainia lini , kabla ua huyu wa Awamu ya Tano au wa Awamu ya 4.Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.
===
Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ninvitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.
Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.
Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary...
Na hasa kama wewe una Mwami AlahBinadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Uwazi kwenye miradi yote itasaidia kupunguza minong’ono toka kwa wananchi ni vyema waanike kila kitu kwa uwazi ili watanzania wote wapate kutafakari vizuriIla naanza kunusa harufu ya kuondoka kwa utawala wa kidikteta na kurudi kwa utawala wa mlegezo. Kikwete yupo active sana na kila kinachosemwa sasa hivi ni calculated movie yake. Huu mradi wa Bagamoyo unapigiwa debe sana na pro Kikwete na haikuna wa kuuzuia. Ni mkataba mbovu wa kuiuza nchi yetu. Wananchi tusidhani kina Ndugai wanatupenda sana kiasi ambacho wanapenda kutuletea vitu vyenye faida.
CAG wa sasa amechuja ukaguzi wake kuna uchakachuaji mkubwa wa report yake hususani hapo kwenye ununuzi wa Ndege na ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bungeSasa kwani huyu CAG wa sasa yeye alizotoa wapi?
Trilion 1.5 ilipigwa na marehemu ikaenda kujenga chato, kuwanunua wabunge madiwani wa chadema na upinzani kwa ujumla, wanufaika wakuu wa hizo pesa ni polepole na Bashiru na wenzao akina Doto aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedhaKila mtu anajua hiyo Issue Ofisi ya NAO
Ilikuwa analazimishwa aitishe Press conference akanushe ile Scandle ya 1.5 Trillion pamoja na kukana udhaifu wa Bunge aliosema
Ununuzi wa Ndege kwa cash kuna ufisadi mkubwa, bei halisi ya Ndege ipo chini tofauti na bei waliyodai kununulia, mikataba yake rist zake ni Siri vilifichwa chatombona naye haeleweki ,tatizo ni kununua ndege kwa cash au tatizo ni uwepo wa ATCL .
Sent using Jamii Forums mobile app
Pardon me, double tapping quotingTrue, tuwe na heshma na ubinadamu wake hata kama hatukukubaliana na baadhi ya approach zake
Assad hana mwanafunzi bwege kama wewe ,wewe ni kindele tu zaidi mwalimu wako ni prof alie okotwa jalalaniNamfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE