Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Huyu Mzee atabaki na heshima yake milele. Mama anaweza kumpa shavu wakati wowote kuanzia sasa.

Jiwe yeye ameondoka kwa aibu na anasindikizwa kaburiki kwake na ufisadi, mauaji, uongo na utekaji. Hakika hana amani huko alipo.
Kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani ikiwemo kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote, kupiga marufuku mikutano ya siasa na mabaya mengineyo kibao
 
Marehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea .Tutasikia mengi.Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu.msrehemu alisema ohh !!!
Kuwabambikia kesi wapinzani uonevu kwa wafanyabiashara kutumia task force kupora pesa zao kuwabambikia kodi kutumia Sheria mbovu ya uhujumu uchumi kuwakomoa watu ni vitu anasingiziwa? ni kwa nini hamtaki marehemu akubali mapungufu udhaifu wake kipindi akiwa madarakani ili waliosalia wapate kujifunza kutenda wema
 
Huo mkataba wa kununua ndege uwekwe wazi. Haiwezekani serikali ikaweka sharti la Siri la mkataba na kampuni ya Boeing kama hakuna hujuma. Si kawaida Boeing kuficha taarifa za ununuzi wa ndege zake kwa wateja. Possibility ni kuwa tulizidisha fedha ili kuzipata hizo ndege mapema.
Ununuzi wa Ndege kwa cash maana yake ni ufisadi maana mnunuzi kachukua 10% yake cash kwa Siri ndiyo maana mikataba ikafichwa sana
 
Huyu profesa anaonyesha ni mtu mwenye maadili na nidhamu ya kazi yake.

Kama amezungumza hivyo kuna shida kubwa sana ameiona ukizingatia ni mtaalamu mbobezi wa hesabu za fedha
Shida ipo na ilikuwepo kubwa zaidi ambayo sasa Rais mpya yupo mbioni kuimaliza, magufuli hakuwa mzalendo alitawala kwa propaganda za kuwajali wanyonge kumbe alikuwa ni fisadi mkubwa zaidi
 
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.

Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.

Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.

Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.

===

Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ninvitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.

Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.

Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary...
Ya Bagamoyo ili sainia lini , kabla ua huyu wa Awamu ya Tano au wa Awamu ya 4.
Na kama ya awamu ya nne , he uliupata? Na nini, ushauri wako kwa Sasa
 
Mh hebu kuwa na hofu ya Mungu. Hata wewe ni Mzoga mtarajiwa! Unajua umebakisha mda gani wa Kuringa hapa Duniani? Have some Respect yule ni Baba wa mtu na wanaumia kuona such Comments kwa Mzazi wao.
Tujifunze kusema mabaya ya marehemu ili waliopo hai wapate kujifunza kutenda wema Duniani
 
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.

Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.

Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.

Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.

===

Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ninvitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.

Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.

Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary...
Ya Bagamoyo ili sainia lini , kabla ua huyu wa Awamu ya Tano au wa Awamu ya 4.
Na kama ya awamu ya nne , he uliupata? Na nini, ushauri wako kwa Sasa
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Na hasa kama wewe una Mwami Alah
 
Ila naanza kunusa harufu ya kuondoka kwa utawala wa kidikteta na kurudi kwa utawala wa mlegezo. Kikwete yupo active sana na kila kinachosemwa sasa hivi ni calculated movie yake. Huu mradi wa Bagamoyo unapigiwa debe sana na pro Kikwete na haikuna wa kuuzuia. Ni mkataba mbovu wa kuiuza nchi yetu. Wananchi tusidhani kina Ndugai wanatupenda sana kiasi ambacho wanapenda kutuletea vitu vyenye faida.
Uwazi kwenye miradi yote itasaidia kupunguza minong’ono toka kwa wananchi ni vyema waanike kila kitu kwa uwazi ili watanzania wote wapate kutafakari vizuri
 
Kila mtu anajua hiyo Issue Ofisi ya NAO

Ilikuwa analazimishwa aitishe Press conference akanushe ile Scandle ya 1.5 Trillion pamoja na kukana udhaifu wa Bunge aliosema
Trilion 1.5 ilipigwa na marehemu ikaenda kujenga chato, kuwanunua wabunge madiwani wa chadema na upinzani kwa ujumla, wanufaika wakuu wa hizo pesa ni polepole na Bashiru na wenzao akina Doto aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha
 
True, tuwe na heshma na ubinadamu wake hata kama hatukukubaliana na baadhi ya approach zake
Pardon me, double tapping quoting
Heshima wala ubinadamu kwa dikteta huwa haipo, na haitakaa iwepo, i.e. Mobutu, Bokassa, Mengistu, .........
Huyu alikuwa anajipigia debe aongezewe muda, Am gobsmacked beyond belief, (alijenga urafiki wa karibu na Burundi, Rwanda, Uganda i.e incumbent dictators).

His famous quote;
"Nitawapoteza"

Kwa mtu anaeelewa mustabali wa nchi, huyu ni dikteta asiye na ubinadamu wala heshima
Lazima avuliwe nguo na aburuzwe mtaani (virtually) I guess.....
 
Ukiona mtu mwenye Akili timamu kaamua kujitoa fahamu hataki kusikia mabaya madhaifu mapungufu ya marehemu magufuli yakitajwa kwa uwazi, utambue moja kwa moja ni mnufaika wa udikiteta wake, ikiwemo uchakachuaji kwenye chaguzi, kuwapora wafanyabiashara pesa zao, kutumia Sheria mbovu ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha kuwakomoa watu kuwatesa kuwafirisi, Wanufaika wa utawala wa marehemu magufuli wapo tayari kuaibika kutetea uonevu wake hawajali chochote ndiyo maana tupo humu kuwambia ukweli
 
Naona wahanga wanatema nyongo.

Jambo moja tu, msisahau aliyoyafanya Mwendazake sis wananchi wa kawaida tunayaona

Je pesa alitoa wapi Kama alikua ni mpigaji?! Au shida yake ni kutofuata utaratibu?!

Wenye akili tunaelewa kinachoandaliwa, Ila kuweni makini Legacy ya JPM itawagharimu.
 
Wanufaika wa marehemu magufuli wapo busy kumtetea kwa hali na mali
 
Back
Top Bottom