rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Nitamwelewa cag wa zamani kama atazungumzia ripoti yake kuhusu Ndugai vinginevyo ni unafiki tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ameshakujibu swali lako kabla hata haujauliza kwenye paragraph ya piliMbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Rais ni taasisi, kwani magu alipokufa alizikwa nayo, si imjibu?Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Disco limeingia maasai, blues wanacheza reggae! 😂 😂 😂Kweli mataga mnaruka na kukanyagana
Marehemu hakuwa Marehemu tu Kama ambavyo anavyoweza kuwa jirani yako , Marehemu Alikuwa Raisi wa Nchi , kwa muktadha huo hatuwezi kukaa kimya na kutomjali kwa sababu Nchi yetu Ina Umuhimu mkubwa kuliko huo umarehemu wake Kama kuna madudu aliyo yafanya yanapaswa kuwekwa wazi ili iwe fundisho kwa watu wengine na ili Kama Kuna walio husika wachukuliwe hatua za kisheria ,Taifa Lina Umuhimu mkubwa kuliko umarehemu wa MtuBinadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
ana tetea taifa lake hadi tone la mwisho, na huo ndiyo uzalendo hasa wa kuexpose ubadhirifu wa mali ya umma.Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa.
Ulishamalizana nao basi sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi. Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine.
CCM ilikuwa imembinafsishia li nchi lote Mwenda Zake. Mwenda Zake kama Maombi yake yalikubaliwa Sasa ni Waziri Mkuu wa Malaika.
kama mtu aliyekuwa rais, ila ofisi yake ya taasisi ya urais ipo inaweza kutoa majibu, maana hajazikwa nayoMarehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea. Tutasikia mengi. Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu. Marehemu alisema ohh!!!
Matendo yako ndio yataamua watu wakuzungumzie vipi baada ya Uhai wako , [emoji3]Marehemu akifa husingiziwa mengi sababu hawezi kutoka aliko kujitetea. Tutasikia mengi. Kila mtu akijinadibu ohhh matehemu. Marehemu alisema ohh!!!
Lilikuwa jitu la Ajabu sanaKuna meli moja bwan mkubwa mwenda zake alisimamia alinunua akiwa Waziri wa ujenzi na uchukuzi alipokuwa Rais ili meli ile isisemwe sana kuwa ni mbovu aliikabidhi kwa jeshi-JWTZ, akasema kwa sasa meli hii ni sawa sawa na vifaru vya jeshi atakayeiongelea shauri zake
ndiyo iwekwe wazi tuone, siyo story za vijiweniATCL ilikuwa na madeni makubwa ya huko nyuma pesa zingeingia akaunti ya ATCL zingelambwa zote na wadai wengine wakiwa hewa.Serikali ndio ikazinunua na kuzikodisha kwa ATCL
Azungumzie na matibabu ya Ndugai IndiaNitamwelewa cag wa zamani kama atazungumzia ripoti yake kuhusu Ndugai vinginevyo ni unafiki tu
Exactly [emoji419]Unafiki gani wakati alipishana na mkuu alipotaka kuanza kukagua ndege
Bunge lilimuomba akakague ndege, Huko ndiko nyaraka watu wakaficha
Ni mwalimu wako Yes lakini wewe ni kilaza na mpumbavu ulifaulu kwa kujaza makaratasi lakini hukuelewa kitu
kwmaba hata angesema nani angemsaidia? boss wa aina ile ambae anaona utafukua mambo yakeMbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Hakuna mtu mpumbavu kama Prof. Assad. Kwanza asije kujidanganya kama yuko popular kiasi cha kutumika kuua heshima ya JPM. Ndiyo maana limekaa kama nguruwe pori hata umbo lake. Kwani nani hajuwi kama Assad anamchukia JPM hata kabla hajawa Rais? Huyu si ndiye alisemaga JPM siyo waziri na hafai kwa kuwa ni mjasiriamali wa kisiasa? Pamoja na sigida yake hana Mungu ni mpumbavu fulani.Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.
===
Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ni vitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.
Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.
Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary.
pale unapo jiita mzalendo, kumbe hutaki wizi na uovu wako uanikwe pale mzalendo wa kweli anapo hoji..Eti niliomba nyaraka nikanyimwa,
Itakua walishazifahamu tabia zake za kupenda kufanya yasiyomhusu ndio maana wakamnyima ,
Ingawa hajasema ni nyaraka zipi ili tujue kama alikua anastahili kupewa ama la.
Wewe mbona ulikua kimya, na hadi hapa unatumia FAKE ID?Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine