Mfano wako hauendani na hili,halafu jenga hoja matusi hayafai kwenye mijadala,kutumia matusi inaoneysha unaendeshwa na mihemko na mahaba/unazi wa chama,tambua tumetumia zaidi ya trilioni 2 kununua midege , kwasasa midege na shirika linatutuia hasara solution ni kufutiliwa mbali na midege kuuzwa, kwasasa hauwezi kufanya chochote kututoa kwenye hasara au kulinusuru shirika maana tulishavurunda kwenye msingi(Foundation)...CAG alichoshauri ni kuvunja nyumba yote na kujenga msingi upya ,kuendelea kurepair ufa wakati msingi mbovu ni kujidanganya nadhani umenielewa.
Njia waliyopendekeza ni kulifutilia mbali shirika.(Kuvunja nyumba yote yenye msingi mbovu ,msingi hauna zege ,msingi hauna nondo ,msingi hauna mawe ,msingi hauna blinding etc) hata ukijenga juu ya msingi mbovu hakuna kitu ni kendelea kupata hasara kwenye maintanance ya nyumba maana cracks ,fungus ,hazitokuacha salama.