mr yamoto
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 923
- 1,395
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria na vifungu vya kisheria kuhusu uteuzi wangu, lakini hii termination imekuja bila hata barua ya kueleza chochote ama kufafanua kifungu chochote cha kisheria kuhusu termination yangu
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote rasmi juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi''Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
==========================================
No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!