Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Mnataka mponza CAG wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kambaku,unalinganisha "dhahabu (nguruwe)" na "matope (huyo jamaa)"!!??Wewe usie kiazi kule pale juu umesema kastaafu kwa mujibu wa sheria au mkataba umeisha kwa mujibu wa sheria?
Ni sababu nina maadili tu siwezi kukujibu hapa, ila amini kabisa nimekutukana kimoyo moyo nguruwe wewe
Hakuna anasema muda bado
Kuwa makini kuna siasa kwenye jambo hili tena siasa za kiccm
Samahani sana mkuu, kweli hapo nimetelezaMkuu Kambaku,unalinganisha "dhahabu (nguruwe)" na "matope (huyo jamaa)"!!??
Unaambiwa atafanya kazi kwa miaka mitano na ataongezwa kama atafaa asipofaa ataachwaMbona CAG's waliopita waliongoza zaidi ya miaka mitano?
Sijui kizungu unajua?Mbona CAG's waliopita waliongoza zaidi ya miaka mitano?
Sasa walivyosema amestaafu ina maana wametudanganya? Prof Assad ana miaka 58 kama miaka mi5 inaisha kesho katiba inasema anaongezewa term 1 nyingine (wametumia shall maana yake ni lazima aongezewe)....Ikifika 60 ndio ana option ya kustaafu.Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi 😛rof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!
Lazima aongezewe miaka m5 kwa mujibu wa katiba kama hafai inabidi watumie kifungu kingine cha katiba kumuondoa na si kwamba amemliza miaka mi5 ya mkataba.Unaambiwa atafanya kazi kwa miaka mitano na ataongezwa kama atafaa asipofaa ataachwa
Miaka mitano imeisha. Boss wake hakutaka kumrenew mkataba. Sasa si katumbuliwa jamani. Ludovic Utouh boss wake aliamua kymuongezea mkataba baada ya miaka mitano mpaka alipostaafu kwa mujibu wa sheria.Huyo mkurugenzi na CAG ni nafasi mbili tofauti mkuu. Uteuzi wake na kustaafiishwa kwake taratibu zake ni mbingu na dunia.
Mjinga sn ww unaijua cv yake lknCAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake
Huyu mzee anazeeka vibaya
Mkuu, ulisoma shule ipi sekondari? Tuanzie hapo inawezekana tatizo ni la walimu wako.Sasa walivyosema amestaafu ina maana wametudanganya? Prof Assad ana miaka 58 kama miaka mi5 inaisha kesho katiba inasema anaongezewa term 1 nyingine (wametumia shall maana yake ni lazima aongezewe)....Ikifika 60 ndio ana option ya kustaafu.
Hivi shule za Elimu bure zinapatikana nchi gani?Mkuu, ulisoma shule ipi sekondari? Tuanzie hapo inawezekana tatizo ni la walimu wako.
Bunge gani?!Huyo CAG mpya ataanza kazi bila kuthibitishwa na bunge? au huu mhimili uliojichimbia kwenda chini zaidi huwa unamaliza kila kitu.
Anaweza akawa mkaguzi wa ndani wa ile Sacco's yao yakichagaCAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa