Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 766
- 1,104
Jiwe ni mwizi anaogopa uchafu wake utafichuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
Tatizo nyie wapiga zumari mnapiga tu wimbo uliochaguliwa na mtoa fedha,mshashiba buku 7 za lumumba mnakuja na vitu mlivyolishwa kusema,sina mda wa kukuambia nimesoma shule gani maana haina umuhimu wowote...Tafuta katiba ya nchi uiosome vizuri.Mkuu, ulisoma shule ipi sekondari? Tuanzie hapo inawezekana tatizo ni la walimu wako.
Amezaliwa tarehe 06 October 1961, anatakiwa kustaagu akiwa na miaka 60 labda awe kama aliandika barua ya kuomba kustaafu kwa hiari na si umri wa lazimaCAG Assad tarehe yake ya kustaafu ni kesho hivyi CAG mpya ilibidi ateuliwe Jumanne
Ametumbuliwa kinyume na katika na kinyume sheria za nchi.Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi 😛rof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!
Inamaana siku hizi CAG anaajiliwa kwa mkataba kinyume na katiba ya JMT?CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake
Huyu mzee anazeeka vibaya
Bunge la MKUU NDUGAI.(soma haraka haraka).Bunge gani?!
Wewe n mtunzi mzuri wa Riwaya na hadithi fupi fupi Hongera SanaSiwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi 😛rof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!
Kesho anaenda kukabidhi Ofisi.Tarehe yake ya mwisho kufanya kazi ni kesho
Nafikiri 2020 inamfaaProf. Mussa Assad, tunaomba ugombee urais 2025
aisee kumbe ememfuta kazi CAG Assad akiwa njiani kikazi kwenda kukagua hesabu ambazo hakupaswa kuzigusa.
Kwa Chama gani? Mwenyekiti atakuwa Nani?Prof. Mussa Assad, tunaomba ugombee urais 2025
HaahahahahaBunge la MKUU NDUGAI.(soma haraka haraka).
Nilifikiri hivyo pia. Naona kama kaonewa.Sasa walivyosema amestaafu ina maana wametudanganya? Prof Assad ana miaka 58 kama miaka mi5 inaisha kesho katiba inasema anaongezewa term 1 nyingine (wametumia shall maana yake ni lazima aongezewe)....Ikifika 60 ndio ana option ya kustaafu.
Hapa katiba imevunjwa na ndio maana nilisema tangia awali kama awamu hii haitaki watu wahoji basi wafute vyama vingi na wafute kabisa katiba tujiendeshe tu kwa mujibu wa raisi atakavyotaka basi.Nilifikiri hivyo pia. Naona kama kaonewa.
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake
Huyu mzee anazeeka vibaya