Gitarijosenga
JF-Expert Member
- Aug 3, 2019
- 276
- 273
Akapumzike nae akaleee wajukuu zake huko ,wacha kichele atulee reforms za maana kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ikisema SHALL BE ELIGIBLE FOR RENEWAL...apo sheria inasema lazima aongezewe mda wa awamu ya pili neno shall kwenye sheria manake lazima ila ingekuwa may hapo manake ni optional
Ooh!sawa basi baba Musa.mpe salamu mama yake pia.Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi 😛rof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!
HahahahaCAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
Huyu uvccm vipi mbona anaongea pumba Sana hapa au shoga unatafuta basha?CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake
Huyu mzee anazeeka vibaya
Uchawi una mdhuru mtu anaye uaminiUchaguzi wa serikali za mitaa tuu watu wanakatwa mapanga, akigombea urais wachawi 900 kutoka gambbosh watamwacha Kweli?
Wale wachawi Wana license to kill
Haya maneno si ya kwako *skyView attachment 1253152
Yametimia. Awamu hii huwezi kudumu kama wewe ni msema kweli na usiyejua verse za mapambio ya kusifu na kuabudu.
Leo CAG Professor Mussa Assad amefurushwa ofisini kibabe kinyume na Katiba inayomlinda hadi atakapotimiza miaka 60. Muda wa Assad kwa mujibu wa Katiba ulifaa kukoma mwaka 2021 atakapotimiza miaka 60.
Kichere aliyeteuliwa kuwa CAG ni yule aliyefurushwa ukamishna Mkuu wa TRA kisha akateuliwa kuwa RAS. Yani mtu aliyeshindwa kusimamia TRA leo anapewa jukumu la Ukaguzi na Udhibiti wa Hesabu za Serikali.
Historia itamkumbuka Shujaa wetu huyu mcha Mungu Professor Mussa Assad aliyesimama kidete kufichua UFISADI WA KUTISHA Serikalini, mashirika ya umma, na taasisi mbali mbali.
Natumai ripoti inayofuata chini ya Kichere itaifurahisha sana Serikali na Bunge la Ndugai.
Professor Mussa Assad amelipa gharama ya kuusema UKWELI MCHUNGU kuhusu ufisadi wa Serikali ya awamu hii na ukweli mchungu kuhusu UDHAIFU wa bunge letu. Hii ndio gharama ya kuwa msema kweli katika Mataifa ya Afrika. Asante kwa kulipa gharama Professor Mussa Assad. Asante kwa kuonesha msimamo dhabiti usioyumba.
Asante kwa kutaa kuvilamba viatu vya wanasiasa ili. Asante kwa kuongozwa na taaluma yako na kukataa kuongozwa na TUMBO lako.
Ni ajabu bado kuna watu kama wewe bado mnazungumzia "kuvunjwa Katiba" kana kwamba ni jambo jipya!Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya
No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!
Muonyeshe katiba inavyosema.Unaambiwa atafanya kazi kwa miaka mitano na ataongezwa kama atafaa asipofaa ataachwa
ha ha ha ha haWewe usie kiazi kule pale juu umesema kastaafu kwa mujibu wa sheria au mkataba umeisha kwa mujibu wa sheria?
Ni sababu nina maadili tu siwezi kukujibu hapa, ila amini kabisa nimekutukana kimoyo moyo nguruwe wewe
Anafaa sana kiukweliProf. Mussa Assad, tunaomba ugombee urais 2025
Mkuu, sheria gani hiyo, Prof Assad ana umri wa miaka 58, kwa hiyo kumstaafisha kabla ya kutimiza umri wa miaka 60 ni kuvuja sheria ya nchi.CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa