Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

Mwisho wa siku mkubwa atabaki msafi huko kijijini kwake kama ilivyo JK, watakaokuwa wakizodolewa ni washauri wake kisheria.

Washauri wa kisheria wa mkubwa watakuwa wanamshauri mzee vile wanavyoona anapenda na anafurahia.

#MandegeYanakuja
#Tunatekeleza
#Mataga
 
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake



Huyu mzee anazeeka vibaya
Mbona unamuandama sana, mpe nafasi na yeye ajitetee
 
October 3, 2019
- October 6 1961
Miaka 57 na siku 362


Huko kwenu huwa wanastaafu na miaka 58?

Darasa la tatu kwenda la nne mtihani wa hesabu ulipata ngapi?
Dogo leo ni November 3, sio October 3. Acha kuchanganya watu!
 
Huyu huyu Prof Assada aliyeenda kuhojiwa huku amevuliwa viatu na mkanda wa suruali ndo awe rais wetu?acha kutdhalilisha watanzania wewe, Chadomo mpeni uenyekiti wa chama chenu basi asimamie ruzuku
Huyu naniliuuu mbona alishafungwa kamba kwa kichaa akiwafundisha kina Aaron Manota Lufungulo pale Sengerema?
 
1572800438446.jpeg


Yametimia. Awamu hii huwezi kudumu kama wewe ni msema kweli na usiyejua verse za mapambio ya kusifu na kuabudu.

Leo CAG Professor Mussa Assad amefurushwa ofisini kibabe kinyume na Katiba inayomlinda hadi atakapotimiza miaka 60. Muda wa Assad kwa mujibu wa Katiba ulifaa kukoma mwaka 2021 atakapotimiza miaka 60.

Kichere aliyeteuliwa kuwa CAG ni yule aliyefurushwa ukamishna Mkuu wa TRA kisha akateuliwa kuwa RAS. Yani mtu aliyeshindwa kusimamia TRA leo anapewa jukumu la Ukaguzi na Udhibiti wa Hesabu za Serikali.

Historia itamkumbuka Shujaa wetu huyu mcha Mungu Professor Mussa Assad aliyesimama kidete kufichua UFISADI WA KUTISHA Serikalini, mashirika ya umma, na taasisi mbali mbali.

Natumai ripoti inayofuata chini ya Kichere itaifurahisha sana Serikali na Bunge la Ndugai.

Professor Mussa Assad amelipa gharama ya kuusema UKWELI MCHUNGU kuhusu ufisadi wa Serikali ya awamu hii na ukweli mchungu kuhusu UDHAIFU wa bunge letu. Hii ndio gharama ya kuwa msema kweli katika Mataifa ya Afrika. Asante kwa kulipa gharama Professor Mussa Assad. Asante kwa kuonesha msimamo dhabiti usioyumba.

Asante kwa kutaa kuvilamba viatu vya wanasiasa ili. Asante kwa kuongozwa na taaluma yako na kukataa kuongozwa na TUMBO lako.
 
Atajijua kama vipi aje ang'ang'anie ofisini kama mbowe alifikil ni ofisi ya babaake

State agent
 
Kuna mmoja simkumbuki miezi kadhaa nyuma nilimsikia akijieleza kwamba aliteuliwa kwamba aliteuliwa akiwa kwenye bus akitoka kwao ila akastaafishwa akiwa amelala anakoroma kitandani mwake

Awamu hii wakikukataa wanakukataa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom