Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Unafikiri kwanini hadi leo kwenye mahojiano bado anaulizwa jambo hilo?
Mussa Assad kuendelea kuhojiwa kila mara hakutasimama,na hii ni kwa sababu kunakuwa na media mpya mfano ni hiyo crown FM ,ndio maana unaona ikikaribia Nyerere day vyombo vingi vya habari vinaenda kufanya mahojiano na walewale waliowafanyia mwaka jana hii yote ni Katika kuweka kumbukumbu sawa .
 
Kwa sababu nchi yenyewe ina wendawazimu, huyo mwendawazimu unayemkusudia hayupo sasa hivi je unaona Tanzania imebadilika nini?
Yule alikuwa kiashiria cha nchi ina wendawazimu , wangekuwa serious na"vetting " wanayosema wasingempitisha.
 
Wangeyajuaje hayo matokeo? Binafsi sio mnafki wa kudai et Magufuli hakuwa sahihi kwa nchi kama Tanzania.
Kuna kitu kinaitwa track record .

Hii inao mchango mkubwa kwenye kufanya machaguo.
 
Mkuu yeye sio CAG wa kwanza kuna aliyewakuta na wanaondelea baada ya kuondoka kwake.
 
Kuna kitu kinaitwa track record .

Hii inao mchango mkubwa kwenye kufanya machaguo.
Mimi narudia kusema tu kwamba siwezi kuwa mnafki kusema kwamba et Magu hakufaa kwa nchi kama Tanzania.
 
Tuna majonzi ya kuuawa kwa Watanzania wenzetu wasio na hatia kupitia serikali hii ya huyo mama yake, sasa yeye anaturudisha kujadili kutenguliwa kwake tumuone Mwamba Magufuli mmbaya. Akae kwa kutulia kwani Watanzania wangapi ni jobless sembuse yeye?
 
Magufuli alikuwa dikteta mkubwa sana katika nchi hii. Yeye alitaka aibe rasilimali za umma bila kuhojiwa ja CAG. Inauma sana.
 
Loh! Yaani Public Audit Act ifute kilichopo kwenye katiba!

Anyway sijaona hiyo, ila kwa vyovyote sheria yeyote haiwezi kufuta au hata kuwa kinyume na kifungu chochote cha katiba.

That law is unconstitutional and of no legal force.
Haina shakauko sahihi kusema hiyo sheria ni batili. Lakini sheria hiyo inapokuwa haramu mambo mengi sana yaliyomo kwenye hiyo shera naayo itaabidi yawe batili pia. Kwa mfano sheria hiyo ndiyo inayoanzishe National Audit Office. Je hiyo ofisi ni baatili? ia hiyo sheria ilianzisha cheo cha Naibu CAG, je hicho cheo nacho kifutwe?
 
Thanks, nimekupata.
 
Huyu jamaa ni mchamungu sana

Ni msema kweli

Ni mzalendo haswa

Lakini JPM hakumpenda Assad kwasababu Assad alitaka kuanika madudu na machafu na ufisadi wa yule bwana

In fact ni kuwa ccm ni kikundi kilichooza yaani hicho chama ni genge la mafisadi na wala rushwa

Profesa Assad ni hazina ya nchi hii sijui kwanini taifa tusimtumie atufikishe mahala fulani kiuchumi

Huyu anatufaa sana kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…