Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,248
- 360
Hivi unajielewa wewe? anazungumzia kuondolewa kinyume na KatibaKwa hiyo mpaka leo anawazia UCAG?Hiyo ni kuchanganyikiwa kabisa. Alitaka awe CAG wa maisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajielewa wewe? anazungumzia kuondolewa kinyume na KatibaKwa hiyo mpaka leo anawazia UCAG?Hiyo ni kuchanganyikiwa kabisa. Alitaka awe CAG wa maisha?
UNAONA SASA,KUMBE UNAZUNGUMZA KITU AMBACHO HATA HAUKIFAHAMU,
YEYE HAPO KAENDA KUFANYIWA MAHOJIANO NA KAULIZWA SWALI,HAJAANZA YEYE TUH FROM NOWHERE KUPAYUKA.
NA ALISHAFANYA UTARATIBU WA KUDAI HAKI ZAKE NA SHAURI LIPO MAHAKAMA YA RUFAA HIVI SASA,SOMETIMES ITS BETTER KUFICHA UJINGA WAKO.
Hujui ulichoandika. Ukiteuliwa kuwa CAG haina kuondolewa mpaka miaka 60. Rais akipenda anaweza kuongeza miaka 5, baada ya miaka 60.Huyu mzee ancheza n vichwa vya watu, anadhani kuwa kila mtu ni mjinga, Yeye aliewa ajira ya mkataba wa miaka 5 na uwezekano wa kupewa mkataba mwingine. Mkataaba mwingune ilikuwa ni uwezekano na wala sio lazima. Sasa mkataba wa kwanza unaisha yeye anadanganywa na watu fulani kuwa mkataba mwingine upo kumbe haupo. Hakufukuzwa kazi, na seme hivyo. Ni kwamba mkataba mwinggine hakupewa. Mbona anasema aliondolewwa kazini? Anadhani wote waTZ ni mbumbumbu?
Kwa hiyo kila siku tumsikilize yeye tu, kuondolewa kwa mjibu wa katiba? Toka 2021 alipokufa JPM jamaa anaongelea UCAG.Unajua ndugu yangu, kusoma nakupata Uprofesa sio kuwa ndio umemaliza. Hata kuwa na uwezo wa kumwelewa bosi wako kazini na kuishi kwa Amani pia ni elimu kubwa. Assad ni Prof lakin hakuwa na elimu ya kuelewa namna ya kuishi na ma bosi wake ndio maana anatapatapa tu. Prof anzisha project kubwa pata pesa na saidia vijana ajira.Prof Assad yeye Analilia UCAG. Hao ndio maprofesa wa bongo.Hivi unajielewa wewe? anazungumzia kuondolewa kinyume na Katiba
Kichaa chake ni kuelezea kadhia iliyomkumba wakati wa utumishi wake kwa hii nchi?Huyu kichaa Bado tu anaumia kutumbuliwa nafasi yake?kwani alizaliwa kuwa CAG milele?kweli tuna mapropesa njaa
🤣🤣🤣Sahivi siyo giza tena ni usiku mbovu
ANA HOJA KUU, ASIKILIZWEKwa hiyo kila siku tumsikilize yeye tu, kuondolewa kwa mjibu wa katiba? Toka 2021 alipokufa JPM jamaa anaongelea UCAG.Unajua ndugu yangu, kusoma nakupata Uprofesa sio kuwa ndio umemaliza. Hata kuwa na uwezo wa kumwelewa bosi wako kazini na kuishi kwa Amani pia ni elimu kubwa. Assad ni Prof lakin hakuwa na elimu ya kuelewa namna ya kuishi na ma bosi wake ndio maana anatapatapa tu. Prof anzisha project kubwa pata pesa na saidia vijana ajira.Prof Assad yeye Analilia UCAG. Hao ndio maprofesa wa bongo.
Samia alimuondoa ndungai kwa kufuata hizo sheria uzisemazo?Lakini kwa kufuata sheria na taratibu za kumwondoa si kutumia mabavu na ubabe.Hii ndio hoja kuu.
Aliitwa na marehemu nani?Hivi unafikiri kwa record na cv yake huyo bwana ana shida na hiyo nafasi? Unajua before CAG, amefanya kazi wapi?
Mostly ni taasis kubwa za kifedha dunanian, nje ya nchi hii. Kwa taarifa yako aliitwa na marehemu, hakutaka ila aliitwa akiwa bado yupo nje
Kulalamika hamaanishi anataka, but yaliyotokea ni upumbavu. Huwez kufunika waovu halaf uka deal na alie uibua. Jiwe asingemuita kutoka nje
Wewe unaongelea kilichopo kwenye katiba. Public Audit Act ilishafuta hicho kipengeleHujui ulichoandika. Ukiteuliwa kuwa CAG haina kuondolewa mpaka miaka 60. Rais akipenda anaweza kuongeza miaka 5, baada ya miaka 60.
hicho unachoongelea hakipo ktk Public Audit Act 2008CAG Assad aliondolewa kwenye nafasi hiyo kabla ya wakati. Inasemwa kwamba rais akishateua CAG hatakiwiki kumuingilia kwenye kazi zake wala kumtengua hadi atakapostaafu kwa taratibu za kiutumishi. Au wakati anaondolewa kazini hukuwa na smartphone?
Loh! Yaani Public Audit Act ifute kilichopo kwenye katiba!Wewe unaongelea kilichopo kwenye katiba. Public Audit Act ilishafuta hicho kipengele
Unafikiri kwanini hadi leo kwenye mahojiano bado anaulizwa jambo hilo?Mnaotoa maneno ya shombo amjielewi hapo anafanyiwa mahojiano na yeye anajibu maswali kulingana na kinachoulizwa .Pia maeneo ya kazi mizengwe kama hii ni sehemu ya maisha na waliofanya haya wengine awapo kwenye uso wa Dunia jambo la muhimu ni kuwa viongozi wengi hawapendi kukosolewa kiufupi awajakomaa katika uongozi wanachukulia kila kitu kama wamesemwa wao.
Kwa sababu nchi yenyewe ina wendawazimu, huyo mwendawazimu unayemkusudia hayupo sasa hivi je unaona Tanzania imebadilika nini?Nchi ilikuwa inaongozwa na mwendawazimu.