Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Uko sahihi mkuu. Prof. Assad hakutaka kutumika na jiwe kama toilet paper ili kusafisha wizi wa 1.5 trilion alizochota na kuzipeleka Chato.
 
KAMA ANADAI HAKI SI TARATIBU ZIPO SIYO MWANAUME KULIA LIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI. AJAZE FORM YA MADAI NA AANDIKE BARUA. LAKINI YEYE MIAKA 3 HII AMESHINDWA KWENDA MWONA SAMIA AKAMPATIA PESA ANAZO TAKA? AACHE UBWEGE. YEYE AKIWA ANALIA LIA NA NYIE WENGINE MFANYEJE SASA?
Yupo kwenye tume ya kupitia mifumo ya kodi, iliundwa na Rais mwezi mmoja uliopita. Sio kwamba analialia, anapoulizwa maswali anayajibu sasa tatizo ni uelewa wa sisi wafuatiliaji wa hii habari.
 
Ameniangusha kwenye kiapo ,yaani watu wanakufa wewe umekalia kiapo!!!!!🚮 Mhhhh nonsense
 
Huyu jamaa ni mchamungu sana

Ni msema kweli

Ni mzalendo haswa

Lakini JPM hakumpenda Assad kwasababu Assad alitaka kuanika madudu na machafu na ufisadi wa yule bwana

In fact ni kuwa ccm ni kikundi kilichooza yaani hicho chama ni genge la mafisadi na wala rushwa

Profesa Assad ni hazina ya nchi hii sijui kwanini taifa tusimtumie atufikishe mahala fulani kiuchumi

Huyu anatufaa sana kwakweli
Mchamungu ambae alimkataza mkewe asiende kwenye msiba wa mzazi wake kisa ni mkristo
 
Zaidi ya kuhongesha kichwa chake chini hana ajualo huyo babu
 
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad ameeleza namna alivyopata taarifa za kutenguliwa kwake katika nafasi hiyo.

“Utenguzi wangu kuna mtu alinipigia simu siku moja kabla kuhusu utenguzi wangu, na saa moja kabla ya taarifa kutoka nikapigiwa simu tena basi nikampa funguo yule dereva wangu yeye akarudi Dodoma mimi nikapanda ndege kurudi Dar” Prof Mussa Assad CAG wa zamani.

Lakini pia siku naenda ofisi ambapo nilikuwa bado ni CAG kwa sababu nilikuwa naondosha tarehe nne lakini nakutana na vijana Ofisi kwangu, vijana wananiambia Profesa huko juu kuna watu na tunahisi hautoweza kuingia ofisi kwako. Ni kawambia no hakuna mtu anaweza kuniingilia leo tarehe 3 nataka kuangalia ofisi yangu kuclose mafails ili kesho niondoe vitu vyangu.

Nikapanda juu gholofa ya 3 naona vijana wawili kwenye mlango wamekaa nikawafuata, jamani vipi haa Profesa sisi tumetumwa tukae hapa na wewe leo usiingie ofisini kwako. Nikasema nani amewatuma? wakajibu sisi tumetumwa na viongozi wetu. Nikauliza hivi kiongozi wako anajuwa leo tarehe 3? Akajibu anajuwa lakini sisi tumeambiwa tukae hapa tusiondoke.

Basi mimi nikawaambia napiga simu sahivi nikashuka chini gholofa ya pili kijana mmoja naye akashuka eh Profesa wewe njoo kesho asubhi hapa utaingia mimi nikamwambia nataka kuingia leo nikampigia simu Chief secretary. Lakini si kutaka kurudi tena juu nikaamua kuondoka zangu kurudi nyumbani kwangu.

Prof Mussa Assad aliteuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 05, mwezi Novemba 2014 na kuhudumu katika nafasi hii mpaka tarehe 04, Novemba 2019 ambapo muda wake wa utumishi ulimalizika.

Soma Pia:
Prof Mussa Assad alifanya kazi kwenye awamu ya nne ya Urais ambaye Rais alikuwa Jakaya Kikwete na awamu ya tano Rais alikuwa Hayati Joseph Magufuli.

Nikapanda juu gholofa ya 3 naona vijana wawili kwenye mlango wamekaa nikawafuata, jamani vipi haa Profesa sisi tumetumwa tukae hapa na wewe leo usiingie ofisini kwako. Nikasema nani amewatuma? wakajibu sisi tumetumwa na viongozi wetu. Nikauliza hivi kiongozi wako anajuwa leo tarehe 3? Akajibu anajuwa lakini sisi tumeambiwa tukae hapa tusiondoke.
 
Magufuli alikuwa dikteta mkubwa sana katika nchi hii. Yeye alitaka aibe rasilimali za umma bila kuhojiwa ja CAG. Inauma sana.
Kamwambie huyo Pimbi wako ASAD alitolewa na hana cha kufanya! Na kwa taarifa yako yeye hatakuwa Rais hata iwe vipi aendelee kulialia tu kama mtoto mdogo!
 
Back
Top Bottom