Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
CAG Assad aliondolewa kwenye nafasi hiyo kabla ya wakati. Inasemwa kwamba rais akishateua CAG hatakiwiki kumuingilia kwenye kazi zake wala kumtengua hadi atakapostaafu kwa taratibu za kiutumishi. Au wakati anaondolewa kazini hukuwa na smartphone?Huyu mzee ancheza n vichwa vya watu, anadhani kuwa kila mtu ni mjinga, Yeye aliewa ajira ya mkataba wa miaka 5 na uwezekano wa kupewa mkataba mwingine. Mkataaba mwingune ilikuwa ni uwezekano na wala sio lazima. Sasa mkataba wa kwanza unaisha yeye anadanganywa na watu fulani kuwa mkataba mwingine upo kumbe haupo. Hakufukuzwa kazi, na seme hivyo. Ni kwamba mkataba mwinggine hakupewa. Mbona anasema aliondolewwa kazini? Anadhani wote waTZ ni mbumbumbu?