Mkuu tuko busy mkuu!Ww unayejua umuhimu wake ulitakiwa ujadili ili tuone utofauti wako, sasa ww umebaki kwenye mijadala isiyo ya bajeti, huku ukitoa miongozo kama mwalimu wa chekechea watu wajadili nini!
may his suol rest in paradiseView attachment 1816939
Ni habari mbaya ambayo imetokea muda si mrefu.
Aliyekuwa Mhadhiri wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini, Prof. Mwesiga Baregu amefariki dunia mapema leo.
Prof. Baregu alikuwa pia Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA.
Pia Soma: Prof. Baregu alifukuzwa UDSM kwa sababu za kisiasa, huku Bashiru akiachwa kwakuwa ni CCM
View attachment 1817281
View attachment 1818162
Dar es Salaam. Mwanachama wa Chadema na mwanazuoni, Profesa Mwesiga Baregu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumapili Juni 13, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ya umma Muhimbili, Aminiel Aligaesha amesema, “amefariki saa tano usiku wa kuamkia leo akiwa ICU (chumba cha uangalizi maalum) na alikuwa hapo kwa takribani siku 15.”
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Mkurugenzi wa Itikadi na Uhusiano wa kimataifa wa Chadema, John Mrema amesema chama kitatoa taarifa rasmi taarifa baada ya kikao na wanafamilia.
"Tunaelekea hospitali ya Muhimbili kukutana na wanafamilia halafu tutatoa taarifa rasmi," amesema Mrema.
Katika ukurasa wa mtandao wake wa kijamii wa Twitter Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo amesema, "pumzika kwa amani Profesa Baregu. Mmoja wa wasomi walioamini kuwa huwezi kutenganisha taaluma na siasa. Ulitufundisha baadhi yetu tunaokubali msimamo huo wasomi wanaweza kufanya siasa bila kupoteza sifa zao.’”
Mwingine aliyeandika ujumbe Twitter ni kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akimtakia mapumziko mema Profesa Baregu.
Profesa Baregu aliyekuwa mhadhiri wa sayansi ya siasa na utawala wa umma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, baadaye alisitishiwa mkataba wake kwa kile kilichoelezwa kuchanganya utumishi na siasa.
Baadaye alihamia Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema hadi mwaka 2019.
View attachment 1817723
Mkuu tuko busy mkuu!
Tanataka tuhakikishe MONDI anatoka BETNi kweli mkijadili bajeti.
Tanataka tuhakikishe MONDI anatoka BET
Kwa kufanya hivyo tutakuwa tumepata muarobaini wa kuitoa ccm madarakani. Ukizingatia dhalimu wetu amekufa huku tukifurahia sana kutumbuliwa kwa wateule wake kina Sabaya na chalamila.
Hakika sasa njia ya ikulu ni nyeupee!
Ntakuwaje na jipya mkuu?Huna jipya, hapa naona unaleta tu uchuro ili kumtakatisha dhalimu, ni bora unyeshee tu maua hapo kaburi, kuliko kulazimisha kumtakatisha ibilisi.
Ntakuwaje na jipya mkuu?
Ukizingatia dhalimu wako aliekuwa anakufanya ukose ushindi kafariki kwa hiyo njia nyeupe ya kwenda ikulu! Ntakuwa na jipya tena hapo?
Ntafanya mkuu!Nyeshea maua na uendelee na mahouse girl hapo nyumbani kwa dhalimu, maana hata mama Janeth kasharudi hapa mjini. Hakikisha unaweka mayai ya hao tausi kwenye incubator, ili utotoleshe tausi wa kutosha.
RIPView attachment 1816939
Ni habari mbaya ambayo imetokea muda si mrefu.
Aliyekuwa Mhadhiri wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini, Prof. Mwesiga Baregu amefariki dunia mapema leo.
Prof. Baregu alikuwa pia Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA.
Pia Soma: Prof. Baregu alifukuzwa UDSM kwa sababu za kisiasa, huku Bashiru akiachwa kwakuwa ni CCM
View attachment 1817281
View attachment 1818162
Dar es Salaam. Mwanachama wa Chadema na mwanazuoni, Profesa Mwesiga Baregu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumapili Juni 13, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ya umma Muhimbili, Aminiel Aligaesha amesema, “amefariki saa tano usiku wa kuamkia leo akiwa ICU (chumba cha uangalizi maalum) na alikuwa hapo kwa takribani siku 15.”
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Mkurugenzi wa Itikadi na Uhusiano wa kimataifa wa Chadema, John Mrema amesema chama kitatoa taarifa rasmi taarifa baada ya kikao na wanafamilia.
"Tunaelekea hospitali ya Muhimbili kukutana na wanafamilia halafu tutatoa taarifa rasmi," amesema Mrema.
Katika ukurasa wa mtandao wake wa kijamii wa Twitter Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo amesema, "pumzika kwa amani Profesa Baregu. Mmoja wa wasomi walioamini kuwa huwezi kutenganisha taaluma na siasa. Ulitufundisha baadhi yetu tunaokubali msimamo huo wasomi wanaweza kufanya siasa bila kupoteza sifa zao.’”
Mwingine aliyeandika ujumbe Twitter ni kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akimtakia mapumziko mema Profesa Baregu.
Profesa Baregu aliyekuwa mhadhiri wa sayansi ya siasa na utawala wa umma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, baadaye alisitishiwa mkataba wake kwa kile kilichoelezwa kuchanganya utumishi na siasa.
Baadaye alihamia Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema hadi mwaka 2019.
View attachment 1817723
Ungeandika tu kiswahili kuwa utakuwa mstari wa mbele kupokea Chanjo ungeonekana mtu wa Maana kuliko huu upumbavu wa Kubaka lugha za watu.. "To get Vaccinated"Naona Kama mama Anachelewesha hii Vaccine, I will be on the front line to get vaccinated
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu wee tobaaaaaah lol.