TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

That does not make sense. Kwa nini utende mema duniani sasa? Fanya ukatili kama Magufuli halafu omba ndugu wakuombee ukishakufa. Ingekuwa ni kweli unachokisema, then kusingekuwa na motivation ya kutenda mema ukiwa hai.

Angalau imani yangu inasema ukishakufa, hauwezi kubadilisha kitabu ulichokiandika wakati ukiwa hai. Najitahidi kukiandika kitabu changu sasa wakati nikiwa hai. Hakuna mtu atakaibadilisha baada ya mimi kutoweka. Kama ni maombi, najiombea sasa hivi.

That does not make sense to you but It makes for any one who ponders deeply.

Kumuombea mtu aliyekufa ni sawa na kumuombea mtu aliyehai hapa duniani, mfano mtu anamuomba nduguye amfanyie maombi au dua kwa Mungu juu ya kadhia inayomkabili licha ya kwamba yeye mwenyewe anaweza kujiombea, kumbuka kwamba kila mtu ana uwezo (kubuli) binafsi mbele ya Mungu na kubuli hizo zinatofautiana kati ya mtu na mtu, mwenye kubuli kubwa ndiye anayesikilizwa zaidi na Mungu kwani huyo ni kipenzi cha Mungu.

Kama mtu ALIYE HAI anaweza kumuomba nduguye shehe, mchungaji nk,amuombee au amsaidie kufanya maombi kwa Mungu vipi nduguyo aliyefariki ambaye hawezi kukuomba umfanyie maombi kwa ajili ya kufutiwa dhambi zake??!!---- does it not bring any sense??, au Mungu hasikii au hana huruma au hawezi kufuta dhambi za mtu aliyekufa akiombwa na waja wake ???.

Katika dini ya kiislamu mtu anapokufa sadaka alizoacha duniani zinazoendelea (thawabu anazoendelea kuzipata) ni tatu mojawapo kati ya hizo tatu ni mtu aliyekufa na akaacha mtoto/watoto aliowafundisha maadili mema ya dini na hao watoto WAKAWA WAKIMUOMBEA DUA HUYO MZAZI WAO aliyekufa.

Kumbuka maombi sio lazima yapokelewe lakini sisi kama binadamu tunawajibu wa kufanya maombi kwani tenda kwa mwenzako lile ambalo wewe ungalipenda utendewe.
 
Sisi ni wa imani tofauti. Tukubali kutokukubalina. Kwa imani yangu ibada ya kuombea wafu wasamehewe dhambi ni ya kishetani. Kama unataka kuniombea, niombee nikiwa hai ili nitubu. Ukisubiri nife, ni kama kuliombea jiwe kwa maana wafu hesabu yao ilikwishafungwa. Wafu hawasikii chochote. Hawawezi kutubu dhambi zao. Ndivyo isemavyo Biblia takatifu.

Wao hawezi kutubu dhambi zao na pia hawawezi kujiombea, sisi ndio tunaweza kuwaombea, hii ni sawa na mlemavu asiweza kufanya kitu na nduguze ndio humpa msaada, basi sisi ndugu wa mtu aliyekufa tunawajibu wa Kumuombea ndugu yetu mbele ya Mungu msikivu, mpole, mwenye huruma, mwenye upendo usio kifani.

Angalia; inawezekana Marehemu alikuwa mtu muovu lakini aliacha mtoto mwema sana, let say Mchungaji, Je huyo mchungaji akimuomba Mungu amsamehe mzazi wake huyo madhambi yake Mungu hawezi kabisa kusikia na kupokea maombi yake??, je Mungu hana huruma??--- Mungu apishe mbali.

Kama Biblia inafundisha hivyo, kamwe sitakuja kuwa mfuasi wa Biblia kwani haiingii akilini kwa mtu anayefikiri tumuone Mungu hana japo sense of mercy kwa kutopokea maombi ya wajawake!!?--- God is ever glorious and merciful and not a cruel being.

Mungu anapata faida gani kuwatia motoni wakosefu??, kama hapati faida kwanini asipokee maombi??
 
Labda Qoran inasema hivyo. Biblia haisemi hivyo. Wee fanya ufanyavyo ukitegemea kuombewa baada ya kufa. Mungu amekupa muda wa kumfahamu na kutenda kwa kadri ya mapenzi yake ukiwa hai. Wee fanya kama Magufuli ukitegemea kuombewa baada ya kufa... Wafu hesabu yao imekwishafungwa. Huruma unayoisema wewe siyo aliyonayo Mungu. Jehanam lazima waingie watu walioamua kumtumikia Shetani wakati wako hai. Mungu angekuwa na huruma hiyo ya wauaji na majambazi nk kuombewa na ndugu zao na kuingia mbinguni, Jehanam kaweka ya nini sasa?
Wao hawezi kutubu dhambi zao na pia hawawezi kujiombea, sisi ndio tunaweza kuwaombea, hii ni sawa na mlemavu asiweza kufanya kitu na nduguze ndio humpa msaada, basi sisi ndugu wa mtu aliyekufa tunawajibu wa Kumuombea ndugu yetu mbele ya Mungu msikivu, mpole, mwenye huruma, mwenye upendo usio kifani.

Angalia; inawezekana Marehemu alikuwa mtu muovu lakini aliacha mtoto mwema sana, let say Mchungaji, Je huyo mchungaji akimuomba Mungu amsamehe mzazi wake huyo madhambi yake Mungu hawezi kabisa kusikia na kupokea maombi yake??, je Mungu hana huruma??--- Mungu apishe mbali.

Kama Biblia inafundisha hivyo, kamwe sitakuja kuwa mfuasi wa Biblia kwani haiingii akilini kwa mtu anayefikiri tumuone Mungu hana japo sense of mercy kwa kutopokea maombi ya wajawake!!?--- God is ever glorious and merciful and not a cruel being.

Mungu anapata faida gani kuwatia motoni wakosefu??, kama hapati faida kwanini asipokee maombi??
 
Wewe ndiye umeleta hoja ya political impact hivyo kama huijui wenzako humu wanamlillia kwa political impact uliyokiri mwenyewe kuwa huijui.

Soma comments zao ufunguke umbumbumbu wako.

Sijui wewe unaongea nini kwani hata mimi namlilia lakini siyo kwa sababu ya alikuwa na political impact yoyote kwangu.

Labda hujui maana ya political impacts
 
Pumzika kwa amani Prof.Baregu

"Ee mwanadamu uliyezaliwa na mwanamke siku zako ni chache za kuishi Duniani"
 
Labda Qoran inasema hivyo. Biblia haisemi hivyo. Wee fanya ufanyavyo ukitegemea kuombewa baada ya kufa. Mungu amekupa muda wa kumfahamu na kutenda kwa kadri ya mapenzi yake ukiwa hai. Wee fanya kama Magufuli ukitegemewa kuombewa baada ya kufa... Wafu hesabu yao imekwishafungwa. Huruma unayoisema wewe siyo aliyonayo Mungu. Jehanam lazima waingie watu walioamua kumtumikia Shetani wakati wako hai. Mungu angekuwa na huruma hiyo ya wauaji na majambazi nk kuombewa na ndugu zao na kuingia mbinguni, Jehanam kaweka ya nini sasa?

Kweli ni shida sana kuamini mambo dogmatically.

Unauliza jehanamu Mungu kaiweka ya nini???--- huku unasahau kwamba sio kila muovu ataingia jehanamu!!

Katika Qur'an dhambi isiyosameheka mbele ya Mungu ni moja tu nayo ni ushirikina, dhambi zingine zote hata kuua Mungu anaweza kusamehe yeye mwenyewe au kama ikimpendeza atasamehe kwa kupokea maombi ya watu wengine waliobaki duniani na hata siku ya hukumu Mungu atawasamehe baadhi ya wakosefu kulingana na utetezi wao.

Kama hakimu katika mahakama za kidunia anaweza kuwahurumia washitakiwa wenye hatia je Mungu mwenye huruma na upole kuliko hakimu atashindwa kusamehe binadamu???--- wewe unataka tumuone Mungu ni mkatili asiyemithilika na asiyesikia kitu!! Huyo atakuwa ni Mungu wako wa Biblia na sio yule Mungu mpole na anayesamehe anapoombwa.

NB: Mimi sijasema.kwamba Watu wasifanye ibada na kumuomba Mungu hapa duniani na wasubiri wakifa watu wengine wawafanyie maombi ya toba kwa dhambi zao laa hasha!!, ninachosisitiza ni kwamba kila mtu ajitahidi kufanya ibada na mema yatakayomfaa huko akhera kwani mtegemea cha ndugu hufa maskini isitoshe sio lazima utakapokufa uwapate wale watakaokuombea kama ukiwapata sawa na hata kama watakuombea kumbuka sio lazima dua zao Mungu azipokee ila la muhimu ni kwamba nafasi ya dua na naombi yao pia ipo wazi kupokelewa na Mungu na ndio maana kila tupatapo nafasi ya kuwaombea ndugu na jamaa zetu waliotangulia mbele za haki huwa hatusiti kuitumia.
 
Katika Biblia dhambi zote zinasameheka kwa kukiri, kuungama na kutubu ukiwa hai, wala siyo baada ya kufa. Wafu hawawezi kuungama na kutubu. Na wala kwenye kuungama na kutubu hakuna middleman (dalali ama wakili). Hawezi kukufanyia ndugu yako. Ni suala la mhusika na Mungu. Ni mhusika mwenyewe wakati ukiwa na uwezo (uhai) wa kufanya hivyo. Ukifa ndio basi tena. Chapter yako inakuwa imefungwa. Wafu hawana uwezo wa kutubu tena.

Katika Mafundisho ya Uisilamu dhambi zote zinasameheka mtu akitubu hapa duniani na anapofariki siku ya hukumu dhambi ambayo haisameheki ni ushirikina tu ila zingine zote Mungu anaweza kuzisamehe katika njia tatu:-

1---Jinsi mtu atakavyojitetea mbele ya hukumu.
2---Jinsi Mungu mwenyewe kwa utashi na HURUMA yake atakapopendezwa kumsamehe mtu.
3--- Maombezi waliofanya watakatifu na watu wa kawaida hapa duniani kwa ajili ya wakosefu na hata maombezi ya watu watakatifu katika siku hiyo ya hukumu.

Narudia tena kusema, swala, sadaka na matendo mema hapa duniani ndio tiketi mujarabu ya mtu kuingia peponi hayo maombi na huruma ya Mungu hazina guarantee kubwa lakini we can't rule them out kwani sifa za Mungu zinamfanya aweze kupokea maombi ya watu.

Milango ya toba na kufanya mema na mabaya kwa wafu imefungwa lakini milango yetu ya maombezi hapa duniani kwa ajili yetu na wao bado ipo wazi na Mungu anayo hiyari ya kupokea au kukataa ila sisi tunatekeleza jukumu letu la kibinadamu tu la kufanya maombi huenda kwa huruma yake akapokea maombi yetu.

Katika dini ya kiisilamu maombi pia ni ibada yenye malipo hasa ombi jema unapomuombea mtu, mfano ukiomba mtu afutiwe madhambi Mungu akimfutia huyo mtu na wewe pia anaweza kukufutia madhambi yako.

Kuna falsafa kubwa sana katika hii mada ya maombi na toba na Mahusiano na Mungu.

Katika Biblia Mungu anaonywesha kama Kitu kisichokuwa na huruma na upole bali ni kitu kinachopenda kutesa bila huruma na kinafurahia mateso ya binadamu, juu ya yote Biblia inadai kwamba adhabu ya moto ni ya MILELE, hiyo ni picha mbaya inayoonyeshwa dhidi ya Mungu, lackal of absolute justice , iweje mtu afanye dhambi kwa miaka kadhaa duniani siku ya kiyama ahukumiwe motoni milele??--- kamwe Siwezi kufuata mafundisho ya kikatili ya Biblia.
 
Innallillahi Wainna Illaihi Raj Un. Poleni sana wafiwa.
 
Hizo dini zinawapotosha na kuwaweka mbali na MUNGU! Vitabu vyenyewe vimeeditiwa balaaa!
 
1. Kwani alikuwa ana miaka mingapi??
Kama kafikisha 70, kifo nibhalali yake kwa mujibu wa Biblia.

2. Hakuna kupumzika kwa amani
Mnajidanganya tu.
Tengeneza maisha yako ungali hai, hakuna jambo lolote linaloweza kubadilika ukiwa huko kuzimu
 
Tuko busy kusaini petition ya kumtoa Mondi NET kwanza mkuu,,!

Bajeti ina umuhimu gani zaidi ya hilo

Ww unayejua umuhimu wake ulitakiwa ujadili ili tuone utofauti wako, sasa ww umebaki kwenye mijadala isiyo ya bajeti, huku ukitoa miongozo kama mwalimu wa chekechea watu wajadili nini!
 
Back
Top Bottom