TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

Mwanadamu u mavumbi na utarudi kuwa mavumbi
 
Duh!

Hii imekuwa wiki ya vifo
1: RIP Prof Baregu; tukiwa members wa UDASA enzi hizo ulikuwa ni mmoja wa pillars za UDASA

2: Poleni sana ndugu wa karibu wa Prof Baregu kwa kuwa karibu sana na msiba huu kuliko sisi wengine wote.

3. Kifo ni njia ya binadamu wote; sote tutakipitia. ila ni bahati mbaya siku za hivi karibuni vifo hasa vya watu maarufu vimekuwa vikitafsiriwa kisiasa zaidi kuliko kutafsiriwa kitaifa. Mmoja akifariki anaitwa mzoga, na mwingine anaiwata shujaa. Mungu wetu ndiye anayetuhukumu, na ikiwezakana tujisuzea kutoa hukuma kwa waliotutangualia.

4. Baregu alikuwa ni intellectual mzuri sana ingawa sijui impact yake kwenye opposition politics ambako alitumia takiba miaka 20.
 
Back
Top Bottom