TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

Death![emoji24][emoji24] Poleni wafiwa wote, kifo ni adui namba moja kwa binadamu...
 
Ufunuo wa Yohana 14:13
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.


Pumzika mzee, pole kwa familia yake....😔
 
1 Wakorintho :15:26
Adui wa mwisho atakayeangamizwa ni kifo.

Mpk wakati huo ufike hatuna budi kuwa wanyonge kwa huyu adui wetu kifo. Kwa wale wanaolala wakiwa na tumaini kwa mwokozi wao Bwana Yesu kifo ni usingizi tu maana siku akirudi atawaamsha. Bwana atupe moyo wa hekima tuzihesabu siku zetu hizi chache za ubatili. Pole kwa familia ya mpigania demokrasia huyu nguli
Ameen,Daudi alisema "eeeh BWANA nijulishe wingi wa siku zangu ili nijijue nilivyo dhaifu",hakuna mji udumuo,rest in power profesa.
 
Punzika kwa kwa amani kiongongozi wangu.. profesa Baregu...
pole kwa viongozi wangu CHADEMA.
 
Aaaaa!!!!!!.....Mwalimu wangu wa somo la International Relations at UDSM na Academic Advisor wangu during those days.

RIP Prof. Mwesiga Baregu!!!
 
Tutakukumbuka kwa kupambania ustawi wa Demokrasia Nchini Tanzania.

Pumzika kwa Amani Prof. Baregu
 
Rest well Prof. Mwesiga Baregu
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Back
Top Bottom