Ameen,Daudi alisema "eeeh BWANA nijulishe wingi wa siku zangu ili nijijue nilivyo dhaifu",hakuna mji udumuo,rest in power profesa.1 Wakorintho :15:26
Adui wa mwisho atakayeangamizwa ni kifo.
Mpk wakati huo ufike hatuna budi kuwa wanyonge kwa huyu adui wetu kifo. Kwa wale wanaolala wakiwa na tumaini kwa mwokozi wao Bwana Yesu kifo ni usingizi tu maana siku akirudi atawaamsha. Bwana atupe moyo wa hekima tuzihesabu siku zetu hizi chache za ubatili. Pole kwa familia ya mpigania demokrasia huyu nguli
Sasa watu wasingekuwa wananufa hii Dunia ingekuwaje? Kifo ni muhimu na sio aduiDeath![emoji24][emoji24] Poleni wafiwa wote, kifo ni adui namba moja kwa binadamu...
Na hicho ndicho cha mhimu. Unampigiaje magoti binadamu mwenzako?Haukwahi kumpigia mtu magoti
Wewe hujaguswa? Hasa kumpoteza professorRIP
Pole kwa wale watakao guswa na msiba huu.
Huu msiba ni mzito sana...sana sana...poleni wafiwa