TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

Death![emoji24][emoji24] Poleni wafiwa wote, kifo ni adui namba moja kwa binadamu...
Wacha kukufulu nani alikwambia kifo ni adui ? Kifo ni moja ya stage katika uhai nenda kasome vizuri.
 
Kifo ni kitu cha kawaida sana. Kila mtu ana siku zake za kuishi na zikiisha basi ni lazima afe tu hamna namna.

Ifike mahali sasa tukizoee kifo. Siyo mtu akifa, wengine wanashangaa utafikiri ni jambo geni kutokea.

Muhimu ni kujiandaa kwa ajili ya ufalme wa MUNGU maana hakuna ajuaye ni lini atakufa. Kila mtu aangalie njia zake, matendo yake, maneno yake na fikra zake na ajitafakari mwenyewe kama anampendeza MUNGU au la.

By the way poleni sana wafiwa wote.
 
Kitu ambacho watu hawaelewi ni kwamba bado covid19 ipo!
 
Nitamkumbuka sana kwenye katiba mpya!
Apumzike kwa amani Prof
 
Rest In Paradise ..Uncle,rafiki,ndugu,jirani,mzazi,mwalimu Pole sana wana Maruku,Wanakagera,Watanzania, Wanachadema.
Tutakukumbuka Pro.Mwesiga Baregu
 
Pro Mwesiga Baregu ni miongoni wa waasisi wa mfumo wa vyama vingi Tanzania. Mwenyeezi Mungu muweke anapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…