Kwani timu yako hua haina story mbona 24/7 upo na Yanga tuWacongo wengi unaowaona wanacheza hapa ni wa mkopo. Mayele akitaka kuondoka, Yanga haitaambulia hata senti. Nonda alipoondoka, Yanga haikupata kitu.
Hao kina Job na Diarra hata kama wana mkataba, wanaweza vunja kama alivyofanya Nabi (au mfano mwingine mbaya Feisal). GSM hawezi kukataa ofa nzuri, wakereketwa mtapigwa tu sound ila biashara itafanyika.
Ndiyo. Ukitaka kujua hilo ngoja siku atakapoondoka uone kama utatajiwa bei aliyouzwa.Mayele anacheza Kwa mkopo????
Mayele anaondoka, labda hao wengine ndio hatuwezi kujua.Diara ,job na mayele bado wanamkataba hawaondoki
Nonda , msuva nk waliondoka na wakavuma sana kwahio ata Nabi anaweza kufanikiwa ni kocha mzuri
Ibenge ni Azam Fc moja kwa moja, Yanga hamna pesa yakumpa yule.Ibenge aje Jangwani, nataman hii ndoto yangu iwe mweli
Hata wakimchukua na Eng Hersi hakuna tabu Yanga ipo leo na kesho.Aliposema 1979Magufuli jana mlimshambulia sana.
Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba hajafuata taratibu. Nabi kaondoka, mnalia huku mitandaoni kama vile kafa hadi mnamnenea mabaya na kudhihirisha wenyewe ule ukubwa mliokuwa mnampa kumbe haukuwa na uhalisia.
Bado Diarra, Mayele na Dickson Job.
Ungeenda Shule kwanza. Ligue ndo nini? Badala mkasome mnakuja kuonesha umbumbumbu wenu hapa.Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Amekopwa kutoka kwako?Mayele akitaka kuondoka, Yanga haitaambulia hata senti.
Mcha - mbuzi. Ndo maana. Angalau ungekuwa hata unaufahamu mpira wa Miguu. Ila ninyi mnao mcha mbuzi huwa hamjui kitu.Hapana mkuu....huu ni uchambuzi....usio na interests zozote ....coz mimi mwenyewe sina timu ni mchambuzi
Utaki achaaa 🤣😂🤣Amekopwa kutoka kwako?
Hakuna aliyesema Yanga itafutika....ila mnaenda kupitia kipindi cha taabu 🤣😂🤣Hata wakimchukua na Eng Hersi hakuna tabu Yanga ipo leo na kesho.
Kama ilishawahi fukuza wachezaji wote wa kikosi cha kwanza na mpaka leo upo ukiinena kwa kinywa chako ujue Yanga ipo ipo sana.
Yaan hata aminiHuu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Halafu, binadamu huwa tunasahau. Yanga ilipofurushwa KLABU BINGWA na AL-HILAL, na kupelekea kwenda kujitetea Ili ashiriki SHIRIKISHO, mashabiki wao wakaanza kumponda. Hali ikawa mbaya zaidi baada ya kutoka sare na CLUB AFRICANS Dar es salaam. Tuliwasoma na kuwasikia mashabiki wakisema kuwa, matokeo ya marudiano na Africans huko Tunisia, yakiwa ni ya kuwaondoa huko SHIRIKISHO, basi abaki huko huko kwao Tunisia.Kocha mwenye akili huondoka pale akiwa bado kwenye peak, ni vema akapate changamoto zingine ajenge cv yake
Atajijuwa.. ACHANA NAYE..Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi