Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Wacongo wengi unaowaona wanacheza hapa ni wa mkopo. Mayele akitaka kuondoka, Yanga haitaambulia hata senti. Nonda alipoondoka, Yanga haikupata kitu.

Hao kina Job na Diarra hata kama wana mkataba, wanaweza vunja kama alivyofanya Nabi (au mfano mwingine mbaya Feisal). GSM hawezi kukataa ofa nzuri, wakereketwa mtapigwa tu sound ila biashara itafanyika.
Kwani timu yako hua haina story mbona 24/7 upo na Yanga tu
 
Diara ,job na mayele bado wanamkataba hawaondoki

Nonda , msuva nk waliondoka na wakavuma sana kwahio ata Nabi anaweza kufanikiwa ni kocha mzuri
Mayele anaondoka, labda hao wengine ndio hatuwezi kujua.
 
Aliposema 1979Magufuli jana mlimshambulia sana.

Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba hajafuata taratibu. Nabi kaondoka, mnalia huku mitandaoni kama vile kafa hadi mnamnenea mabaya na kudhihirisha wenyewe ule ukubwa mliokuwa mnampa kumbe haukuwa na uhalisia.

Bado Diarra, Mayele na Dickson Job.
Hata wakimchukua na Eng Hersi hakuna tabu Yanga ipo leo na kesho.
Kama ilishawahi fukuza wachezaji wote wa kikosi cha kwanza na mpaka leo upo ukiinena kwa kinywa chako ujue Yanga ipo ipo sana.
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Ungeenda Shule kwanza. Ligue ndo nini? Badala mkasome mnakuja kuonesha umbumbumbu wenu hapa.
 
Hapana mkuu....huu ni uchambuzi....usio na interests zozote ....coz mimi mwenyewe sina timu ni mchambuzi
Mcha - mbuzi. Ndo maana. Angalau ungekuwa hata unaufahamu mpira wa Miguu. Ila ninyi mnao mcha mbuzi huwa hamjui kitu.
 
Hata wakimchukua na Eng Hersi hakuna tabu Yanga ipo leo na kesho.
Kama ilishawahi fukuza wachezaji wote wa kikosi cha kwanza na mpaka leo upo ukiinena kwa kinywa chako ujue Yanga ipo ipo sana.
Hakuna aliyesema Yanga itafutika....ila mnaenda kupitia kipindi cha taabu 🤣😂🤣

Nadhani hivi karibuni tutaanza kusikia kutoka kwa hao viongozi wenu maneno kama "tunasuka kikosi upya".
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Yaan hata amini
 
Kocha mwenye akili huondoka pale akiwa bado kwenye peak, ni vema akapate changamoto zingine ajenge cv yake
Halafu, binadamu huwa tunasahau. Yanga ilipofurushwa KLABU BINGWA na AL-HILAL, na kupelekea kwenda kujitetea Ili ashiriki SHIRIKISHO, mashabiki wao wakaanza kumponda. Hali ikawa mbaya zaidi baada ya kutoka sare na CLUB AFRICANS Dar es salaam. Tuliwasoma na kuwasikia mashabiki wakisema kuwa, matokeo ya marudiano na Africans huko Tunisia, yakiwa ni ya kuwaondoa huko SHIRIKISHO, basi abaki huko huko kwao Tunisia.
Sina shaka, hata yeye aliyasikia hayo maneno. Na anajua, salama yake, imetokana na matokeo hayo yaliyowafikisha hapo. Kinyume chake, angeshafurushwa muda mrefu! Ameona ni bora aondoke akiwa bado anapendwa, na HAJAHARIBIKIWA!
 
Kama kawaida yenu. Mchezaji akiondoka na itokee bado mnampenda lazima mjenge bifu .Mchome Jezi zake kama mlivyochoma za Nyionzima
 
Acha akachukue hela mkuu, bahati huwa haiji mara mbili,Al hilal ya Sudan alitimuliwa within 3months.....ndiyo akaja Yanga yetu acha akachukue Pension,then wanayanga wenzangu tukubali coaches huwa hili ni kawaida tu
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Atajijuwa.. ACHANA NAYE..
YANGA OYEE🙌🤙💪
 
Back
Top Bottom