Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Kocha mwenye akili huondoka pale akiwa bado kwenye peak, ni vema akapate changamoto zingine ajenge cv yake
Sawa mkuu ...japo inawezekana ukajibomoa kabsaa
 
Sema wacha Prof Nabi aende kwenye malisho bora zaidi wana Yanga hatuna deni nae.

Hapa ni nyumbani akihitaji kurejea nafasi ipo klabuni na mioyoni mwetu.
Kabisa mkuu [emoji23]
 
Wewe kolo Ajib amewahi kuwa kocha wa timu gani hadi uwatahadhalishe makocha kutokuwa sawa na yeye
 
Kama ulifuatilia.....ungegundua kuwa wale walikuwa mashabiki wa Simba
 
Kwakweli simuoni akitamba kama ilivyokuwa hapa bongo
 
Acha akachukue hela mkuu, bahati huwa haiji mara mbili,Al hilal ya Sudan alitimuliwa within 3months.....ndiyo akaja Yanga yetu acha akachukue Pension,then wanayanga wenzangu tukubali coaches huwa hili ni kawaida tu
Hakuna namna
 
Awapi wew....basi wangeshamchukua tyr

Au umechanganya majina....na baleke [emoji23]
Mmezoea kudanganywa na viongozi wenu hadi imefika wakati mkipewa facts na watu wa nje mnaona tunasema uongo. Ubaya wa uongo una ukomo. Akiondoka hawawezi kuwaambia alikuwa kwa mkopo maana walishawaaminisha vinginevyo. Hawawezi pia kuwaambia ameuzwa maana hamtawaelewa. Kazi wanayo.....
 
Beleke ndo wa mkopo mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…