Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
sio mada tu hata mtoa mada ana shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
as long as GSM yupo....pesa ipoHakuna aliyesema Yanga itafutika....ila mnaenda kupitia kipindi cha taabu [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Nadhani hivi karibuni tutaanza kusikia kutoka kwa hao viongozi wenu maneno kama "tunasuka kikosi upya".
Wewe kolo Ajib amewahi kuwa kocha wa timu gani hadi uwatahadhalishe makocha kutokuwa sawa na yeyeLigi ya SA ni ya kawaida sana Wala haitamsumbua tena atafanikiwa sana kimsingi naona ameondoka wakati sahihi kabisa
Makocha wetu wanaopata nafasi ya kufundisha team kubwa wajifunze kufanya vizuri wanapopewa hizi team ili wafike mbali wasiwe kama Ajib
Wapunguze kuuza mechi
Kama ulifuatilia.....ungegundua kuwa wale walikuwa mashabiki wa SimbaHalafu, binadamu huwa tunasahau. Yanga ilipofurushwa KLABU BINGWA na AL-HILAL, na kupelekea kwenda kujitetea Ili ashiriki SHIRIKISHO, mashabiki wao wakaanza kumponda. Hali ikawa mbaya zaidi baada ya kutoka sare na CLUB AFRICANS Dar es salaam. Tuliwasoma na kuwasikia mashabiki wakisema kuwa, matokeo ya marudiano na Africans huko Tunisia, yakiwa ni ya kuwaondoa huko SHIRIKISHO, basi abaki huko huko kwao Tunisia.
Sina shaka, hata yeye aliyasikia hayo maneno. Na anajua, salama yake, imetokana na matokeo hayo yaliyowafikisha hapo. Kinyume chake, angeshafurushwa muda mrefu! Ameona ni bora aondoke akiwa bado anapendwa, na HAJAHARIBIKIWA!
Kwakweli simuoni akitamba kama ilivyokuwa hapa bongoHuu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Hakuna namnaAcha akachukue hela mkuu, bahati huwa haiji mara mbili,Al hilal ya Sudan alitimuliwa within 3months.....ndiyo akaja Yanga yetu acha akachukue Pension,then wanayanga wenzangu tukubali coaches huwa hili ni kawaida tu
Leta hoja mkuu
Mmezoea kudanganywa na viongozi wenu hadi imefika wakati mkipewa facts na watu wa nje mnaona tunasema uongo. Ubaya wa uongo una ukomo. Akiondoka hawawezi kuwaambia alikuwa kwa mkopo maana walishawaaminisha vinginevyo. Hawawezi pia kuwaambia ameuzwa maana hamtawaelewa. Kazi wanayo.....Awapi wew....basi wangeshamchukua tyr
Au umechanganya majina....na baleke [emoji23]
Yeah Kwa mafanikio aliyopata lazima offer zije,naona watu wanalia lia lia niniHakuna namna
Beleke ndo wa mkopo mzeeMmezoea kudanganywa na viongozi wenu hadi imefika wakati mkipewa facts na watu wa nje mnaona tunasema uongo. Ubaya wa uongo una ukomo. Akiondoka hawawezi kuwaambia alikuwa kwa mkopo maana walishawaaminisha vinginevyo. Hawawezi pia kuwaambia ameuzwa maana hamtawaelewa. Kazi wanayo.....