Usiye nazo ndo utafute unafuatilia maisha ya wanaume.Tafuta pesa dogo
Nimeweka supportive evidence za kwnn atapotea
Lomalisa kashapeleka barua ya kusepaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliposema 1979Magufuli jana mlimshambulia sana.
Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba hajafuata taratibu. Nabi kaondoka, mnalia huku mitandaoni kama vile kafa hadi mnamnenea mabaya na kudhihirisha wenyewe ule ukubwa mliokuwa mnampa kumbe haukuwa na uhalisia.
Bado Diarra, Mayele na Dickson Job.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameshanusa harufu ya kipigo cha mbwa koko msimu ujaoo..akaona ya nini mie roho yanguuu...bora nisepe..huu ndo mwaka wa mwisho wa gongowazi kuchukua kikombe..
You sound like a bitter ex.Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amekopwa kutoka kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna aliyesema Yanga itafutika....ila mnaenda kupitia kipindi cha taabu [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Nadhani hivi karibuni tutaanza kusikia kutoka kwa hao viongozi wenu maneno kama "tunasuka kikosi upya".
Kabisaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu, binadamu huwa tunasahau. Yanga ilipofurushwa KLABU BINGWA na AL-HILAL, na kupelekea kwenda kujitetea Ili ashiriki SHIRIKISHO, mashabiki wao wakaanza kumponda. Hali ikawa mbaya zaidi baada ya kutoka sare na CLUB AFRICANS Dar es salaam. Tuliwasoma na kuwasikia mashabiki wakisema kuwa, matokeo ya marudiano na Africans huko Tunisia, yakiwa ni ya kuwaondoa huko SHIRIKISHO, basi abaki huko huko kwao Tunisia.
Sina shaka, hata yeye aliyasikia hayo maneno. Na anajua, salama yake, imetokana na matokeo hayo yaliyowafikisha hapo. Kinyume chake, angeshafurushwa muda mrefu! Ameona ni bora aondoke akiwa bado anapendwa, na HAJAHARIBIKIWA!
Hawa jamaa sjui wana akili gani asee??dahAliposema 1979Magufuli jana mlimshambulia sana.
Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba hajafuata taratibu. Nabi kaondoka, mnalia huku mitandaoni kama vile kafa hadi mnamnenea mabaya na kudhihirisha wenyewe ule ukubwa mliokuwa mnampa kumbe haukuwa na uhalisia.
Bado Diarra, Mayele na Dickson Job.
Mumbrand kvp sasa??yule ni kocha kazi yake ni kufunza mpira,hayo ya kumbrand mngembrand diamond kwanzaNabi hakuwa wakuondoka now .....ilibidi tuendelee kumbrand na kumjenga
Mnaweza kumpa hela yule,yule ni kocha namba mbiki africa baada ya mokwena wa mamelodi,hamna hela hiyo kuku wahedIbenge aje Jangwani, nataman hii ndoto yangu iwe mweli
Ibenge ni kocha mzigo. Yanga watamtupia virago asubuhi tu,Ibenge aje Jangwani, nataman hii ndoto yangu iwe mweli
Mayele asha wahi sema hayupo kwa mkopo tukuamini wewe au yeyeMmezoea kudanganywa na viongozi wenu hadi imefika wakati mkipewa facts na watu wa nje mnaona tunasema uongo. Ubaya wa uongo una ukomo. Akiondoka hawawezi kuwaambia alikuwa kwa mkopo maana walishawaaminisha vinginevyo. Hawawezi pia kuwaambia ameuzwa maana hamtawaelewa. Kazi wanayo.....
Mzigo ki aje?Ibenge ni kocha mzigo. Yanga watamtupia virago asubuhi tu,
Sometimes ni bora kukaa kimya kama huna cha kuandikaHuu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Unajua maana ya kwenda kutafuta changamoto mpya?Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Muulize maana ya kwenda kutafuta changamoto mpya, aache ushabiki mandazi