Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Nimeweka supportive evidence za kwnn atapotea

Mimi binafsi sijaelewa
Hoja YAKO ligi ya bongo haijawahi kuacha mwanamichezo yoyote salama ukamuongelea nabi kuelekea SA

Ulipaswa utuambie KWA jinsi ufundishaji wa nabi na ligi ya SA kwake itakuwa ngumu kwasababu labda SA Wana aina fulani ya mpira au ungetupa evidence za makocha walioondoka yanga na hivi sasa ni hawana wanalofanya

Kiukweli sijakuelewa hata mimi sifatiliagi mpira Ila sijaelewa nieleweshwe mkuu
 
Aliposema 1979Magufuli jana mlimshambulia sana.

Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba hajafuata taratibu. Nabi kaondoka, mnalia huku mitandaoni kama vile kafa hadi mnamnenea mabaya na kudhihirisha wenyewe ule ukubwa mliokuwa mnampa kumbe haukuwa na uhalisia.

Bado Diarra, Mayele na Dickson Job.
Lomalisa kashapeleka barua ya kusepaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
You sound like a bitter ex.

Ndio zile unamwambia mtu 'hutopata mwingine kama mimi' kusahau kuwa dhamira ya kuacha ni ili kuondokana na wewe na kutopata mwingine kama wewe.
 
Hakuna aliyesema Yanga itafutika....ila mnaenda kupitia kipindi cha taabu [emoji1787][emoji23][emoji1787]

Nadhani hivi karibuni tutaanza kusikia kutoka kwa hao viongozi wenu maneno kama "tunasuka kikosi upya".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu, binadamu huwa tunasahau. Yanga ilipofurushwa KLABU BINGWA na AL-HILAL, na kupelekea kwenda kujitetea Ili ashiriki SHIRIKISHO, mashabiki wao wakaanza kumponda. Hali ikawa mbaya zaidi baada ya kutoka sare na CLUB AFRICANS Dar es salaam. Tuliwasoma na kuwasikia mashabiki wakisema kuwa, matokeo ya marudiano na Africans huko Tunisia, yakiwa ni ya kuwaondoa huko SHIRIKISHO, basi abaki huko huko kwao Tunisia.
Sina shaka, hata yeye aliyasikia hayo maneno. Na anajua, salama yake, imetokana na matokeo hayo yaliyowafikisha hapo. Kinyume chake, angeshafurushwa muda mrefu! Ameona ni bora aondoke akiwa bado anapendwa, na HAJAHARIBIKIWA!
Kabisaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliposema 1979Magufuli jana mlimshambulia sana.

Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba hajafuata taratibu. Nabi kaondoka, mnalia huku mitandaoni kama vile kafa hadi mnamnenea mabaya na kudhihirisha wenyewe ule ukubwa mliokuwa mnampa kumbe haukuwa na uhalisia.

Bado Diarra, Mayele na Dickson Job.
Hawa jamaa sjui wana akili gani asee??dah
 
Mmezoea kudanganywa na viongozi wenu hadi imefika wakati mkipewa facts na watu wa nje mnaona tunasema uongo. Ubaya wa uongo una ukomo. Akiondoka hawawezi kuwaambia alikuwa kwa mkopo maana walishawaaminisha vinginevyo. Hawawezi pia kuwaambia ameuzwa maana hamtawaelewa. Kazi wanayo.....
Mayele asha wahi sema hayupo kwa mkopo tukuamini wewe au yeye
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Sometimes ni bora kukaa kimya kama huna cha kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Unajua maana ya kwenda kutafuta changamoto mpya?
 
Back
Top Bottom