Alikotoka alifanya vizuri ndio maana Yanga wakamchukua! Sasa anaondoka, dua zimeanzaMuulize maana ya kwenda kutafuta changamoto mpya, aache ushabiki mandazi
Yanga na simba zimeharibu watanzaniaAlikotoka alifanya vizuri ndio maana Yanga wakamchukua! Sasa anaondoka, dua zimeanzaView attachment 2659167
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha wa SimbaWewe kolo Ajib amewahi kuwa kocha wa timu gani hadi uwatahadhalishe makocha kutokuwa sawa na yeye
Yaani ni kocha anayefanikiwa pale tu timu inapokuwa na wachezaji kiwango na wenye uzoefu.Mzigo ki aje?
Assume mchezaji.....unaondoka pale Madrid ukiwa at the peak ....Je utaenda timu ganMimi binafsi sijaelewa
Hoja YAKO ligi ya bongo haijawahi kuacha mwanamichezo yoyote salama ukamuongelea nabi kuelekea SA
Ulipaswa utuambie KWA jinsi ufundishaji wa nabi na ligi ya SA kwake itakuwa ngumu kwasababu labda SA Wana aina fulani ya mpira au ungetupa evidence za makocha walioondoka yanga na hivi sasa ni hawana wanalofanya
Kiukweli sijakuelewa hata mimi sifatiliagi mpira Ila sijaelewa nieleweshwe mkuu
Wala siyo simba na yanga, ni hawa jamaa wa CCM.Yanga na simba zimeharibu watanzania
Kwani hayo " mahari" ilikuwa bei gani?Yanga ilikuwa mahari sahihi kwake
Mayele mkataba na yanga unaisha 2024.Wacongo wengi unaowaona wanacheza hapa ni wa mkopo. Mayele akitaka kuondoka, Yanga haitaambulia hata senti. Nonda alipoondoka, Yanga haikupata kitu.
Hao kina Job na Diarra hata kama wana mkataba, wanaweza vunja kama alivyofanya Nabi (au mfano mwingine mbaya Feisal). GSM hawezi kukataa ofa nzuri, wakereketwa mtapigwa tu sound ila biashara itafanyika.
Assume mchezaji.....unaondoka pale Madrid ukiwa at the peak ....Je utaenda timu gan
Kuna muda pesa haiwezi buy happiness ..... feitoto hatakuwa na lile jina kama alivyokuwa Kwa wananchiNdio mlitaka fei nae abaki muendelee kumpa hela ndogo kisa akienda club nyingine kipaji kitapotea[emoji23]hata ingekua wewe usingebaki kama kampuni nyingine inakupa mpunga mrefu kuliko hapo unapofanya kazi na ukizingatia umri haukusubir na unamalengo yako mengi
Una uwezo mdg... kuelewaBADO sijakuelewa, unazungumzia nabi as coach au unazungumzia mchezaji?
Halafu unatumia Emotional appeal fallacy" mbinu ya kutumia hisia za watu badala ya hoja za mantiki au ushahidi wa kuthibitisha hoja au mtazamo fulani.
Halafu ukitoa hoja hakuna maswala ya ku assume tunahitaji fact
Bado ujanielewesha mkuu ni vipi nabi atapotea?[emoji120][emoji120]
lopolopo kama lopolopo kitakachokuja akilin hchohichoWe nawe muda mwingine uwe unatumia akili sio kila saa kutumia ushabiki tu.
Si mlimpa U Professor sasa anaenda kushindwa vipi?.Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545