Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Muulize maana ya kwenda kutafuta changamoto mpya, aache ushabiki mandazi
Alikotoka alifanya vizuri ndio maana Yanga wakamchukua! Sasa anaondoka, dua zimeanza
FB_IMG_1686873751304.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You sound like a bitter ex.

Ndio zile unamwambia mtu 'hutopata mwingine kama mimi' kusahau kuwa dhamira ya kuacha ni ili kuondokana na wewe na kutopata mwingine kama wewe.
Yanga ilikuwa mahali sahihi kwake
 
Mimi binafsi sijaelewa
Hoja YAKO ligi ya bongo haijawahi kuacha mwanamichezo yoyote salama ukamuongelea nabi kuelekea SA

Ulipaswa utuambie KWA jinsi ufundishaji wa nabi na ligi ya SA kwake itakuwa ngumu kwasababu labda SA Wana aina fulani ya mpira au ungetupa evidence za makocha walioondoka yanga na hivi sasa ni hawana wanalofanya

Kiukweli sijakuelewa hata mimi sifatiliagi mpira Ila sijaelewa nieleweshwe mkuu
Assume mchezaji.....unaondoka pale Madrid ukiwa at the peak ....Je utaenda timu gan
 
Yanga na simba zimeharibu watanzania
Wala siyo simba na yanga, ni hawa jamaa wa CCM.

Yaani CCM akiweka mguu mahali ujue hakuna kitakachofanikiwa.

Kuanzia kununua magoli ya simba na yanga hadi kununua midege mibovu kote tulipigwa.
 
Ndio mlitaka fei nae abaki muendelee kumpa hela ndogo kisa akienda club nyingine kipaji kitapotea[emoji23]hata ingekua wewe usingebaki kama kampuni nyingine inakupa mpunga mrefu kuliko hapo unapofanya kazi na ukizingatia umri haukusubir na unamalengo yako mengi
 
Wacongo wengi unaowaona wanacheza hapa ni wa mkopo. Mayele akitaka kuondoka, Yanga haitaambulia hata senti. Nonda alipoondoka, Yanga haikupata kitu.

Hao kina Job na Diarra hata kama wana mkataba, wanaweza vunja kama alivyofanya Nabi (au mfano mwingine mbaya Feisal). GSM hawezi kukataa ofa nzuri, wakereketwa mtapigwa tu sound ila biashara itafanyika.
Mayele mkataba na yanga unaisha 2024.
Ofa zikija nzuri Hata diara na job wanauzwa na wanaletwa wengine Mpira ni biashara na burudani .
Muhimu Yanga waipe nguvu program ya vijana ndio itamaliza tatizo la vipaji .
Watafute kocha wazuri kufundisha vijana
 
Assume mchezaji.....unaondoka pale Madrid ukiwa at the peak ....Je utaenda timu gan

BADO sijakuelewa, unazungumzia nabi as coach au unazungumzia mchezaji?
Halafu unatumia Emotional appeal fallacy" mbinu ya kutumia hisia za watu badala ya hoja za mantiki au ushahidi wa kuthibitisha hoja au mtazamo fulani.
Halafu ukitoa hoja hakuna maswala ya ku assume tunahitaji fact
Bado ujanielewesha mkuu ni vipi nabi atapotea?🙏🙏
 
Ndio mlitaka fei nae abaki muendelee kumpa hela ndogo kisa akienda club nyingine kipaji kitapotea[emoji23]hata ingekua wewe usingebaki kama kampuni nyingine inakupa mpunga mrefu kuliko hapo unapofanya kazi na ukizingatia umri haukusubir na unamalengo yako mengi
Kuna muda pesa haiwezi buy happiness ..... feitoto hatakuwa na lile jina kama alivyokuwa Kwa wananchi
 
BADO sijakuelewa, unazungumzia nabi as coach au unazungumzia mchezaji?
Halafu unatumia Emotional appeal fallacy" mbinu ya kutumia hisia za watu badala ya hoja za mantiki au ushahidi wa kuthibitisha hoja au mtazamo fulani.
Halafu ukitoa hoja hakuna maswala ya ku assume tunahitaji fact
Bado ujanielewesha mkuu ni vipi nabi atapotea?[emoji120][emoji120]
Una uwezo mdg... kuelewa
 
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

View attachment 2658545
Si mlimpa U Professor sasa anaenda kushindwa vipi?.
Eti Professor wakati ameshindwa kuifikisha Yanga hata Group Stage CAFCL
 
Back
Top Bottom