Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Akishindwa tutajua ni kweli mlikuwa mnahonga marefa.
Ila muache roho mbaya, mtu kawatumikia vizuri na ameondoka baada ya mkataba kuisha lakini Bado mnamtakia mabaya. Nendeni mkamshitaki TFF kwenye kamati yenu ya mchongo
 
Hata mkataba wa Baleke unaisha 2024 ila Simba wanaweza kumuuza Baleke?
 
Umpe USHAURI Sasa !!! Afanyeje
 
Akishindwa tutajua ni kweli mlikuwa mnahonga marefa.
Ila muache roho mbaya, mtu kawatumikia vizuri na ameondoka baada ya mkataba kuisha lakini Bado mnamtakia mabaya. Nendeni mkamshitaki TFF kwenye kamati yenu ya mchongo
Tunataka aendelee kufanya mazuri hapa hapa
 
Hebu tupe mifano
 
Mleta mada una chuki za kimaskini sana hebu tupe mifano ya makocha waliotoka ligi za bongo kwa mafanikio na kwenda kupoteana wakiwa na timu yenye kikosi kizuri. Nyie alipowapa mafanikio si mlimuita profesa iweje anakoenda akafeli kama bado ana uprofesa wake. Na msimu ujao mtapigiza chini kwaajili ya ujinga kama mashabiki mko hivi viongozi nao hamnazo basi wwnye akili ni mtu mbili tu pale
 
Time Will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…