rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ile mkipokea kipigo msianze kusema ni Simba maana aliwahi kuhudhuria mkutano waoIbenge aje Jangwani, nataman hii ndoto yangu iwe mweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile mkipokea kipigo msianze kusema ni Simba maana aliwahi kuhudhuria mkutano waoIbenge aje Jangwani, nataman hii ndoto yangu iwe mweli
Una uwezo mdg... kuelewa
Hata mkataba wa Baleke unaisha 2024 ila Simba wanaweza kumuuza Baleke?Mayele mkataba na yanga unaisha 2024.
Ofa zikija nzuri Hata diara na job wanauzwa na wanaletwa wengine Mpira ni biashara na burudani .
Muhimu Yanga waipe nguvu program ya vijana ndio itamaliza tatizo la vipaji .
Watafute kocha wazuri kufundisha vijana
sana.Punguza emotions mkuu
Umpe USHAURI Sasa !!! AfanyejeHuu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Tunataka aendelee kufanya mazuri hapa hapaAkishindwa tutajua ni kweli mlikuwa mnahonga marefa.
Ila muache roho mbaya, mtu kawatumikia vizuri na ameondoka baada ya mkataba kuisha lakini Bado mnamtakia mabaya. Nendeni mkamshitaki TFF kwenye kamati yenu ya mchongo
Hebu tupe mifanoHuu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
But Saido siyo striker. Si unajua hilo? Si sawa yeye kushindanishwa na strikers.Magoli ya bahasha..... mbna club bingwa alishindwa kufunga hata offsides [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cryNabi hakuwa wakuondoka now .....ilibidi tuendelee kumbrand na kumjenga
Mjinga atakufaUtopolo unaonekana unaumia sana vumilia tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Time Will tellMleta mada una chuki za kimaskini sana hebu tupe mifano ya makocha waliotoka ligi za bongo kwa mafanikio na kwenda kupoteana wakiwa na timu yenye kikosi kizuri. Nyie alipowapa mafanikio si mlimuita profesa iweje anakoenda akafeli kama bado ana uprofesa wake. Na msimu ujao mtapigiza chini kwaajili ya ujinga kama mashabiki mko hivi viongozi nao hamnazo basi wwnye akili ni mtu mbili tu pale