Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Arejeew kufanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema wacha Prof Nabi aende kwenye malisho bora zaidi wana Yanga hatuna deni nae.
Hapa ni nyumbani akihitaji kurejea nafasi ipo klabuni na mioyoni mwetu.
Time wait's for no manTime Will tell
Kufundisha mpira..Arejeew kufanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kufanya kaz ambayo si sawa na majukumu yake.Sasa huo u top scorer kaupata vp
Kwangu ni sahihi aondoke sio ufukuzweHuu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Nadhani ameonesha anafanya kitu cha zaidi ya kawaida. Kushikana na striker mabao na bado kuongoza kwa kutoa assist nadhani si mchezaji wa kawaida anapaswa awe mchezaji bora wa msimu.Basi hafai kuwa mchezaji bora
Tuulize kama yalihesabiwa au alipewa mchezaji wetu Mayele.Je magoli yalikuwa ya halali??
Kwa kufunga magoli mengi? Huruma si angeonewa Mayele ambaye hata mwaka jana alikosa?Alionewa huruma
Weeeee.... Usiniambie....! Enheeeh.... Wameandika sehemu gani hiyo?Mayele kaprove ukubwa pale mjini CAF ....jina lake limeandikwa Kwa dhahabu