TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

Delta inakimbiza tu kimya kimya...badae ndio mtaelewa
Hivi Jamani kuna watu wenye vichwa vibovu,sio kila kifo ni corona,huyu mzee toka mwaka 1975 ameisha anza kufundisha chuo kikuu wengi atujazaliwa wengi aliowafundisha miaka hiyo wote waliisha stafu kazi,sasa mzee kama huyu mlitaka haishi miaka mingapi?Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 akizidi miaka 80(Zaburi 90:10) wengi sana hawafikii miaka hiyo
 
Pole sana Mkuu. Ndio njia yetu sote[emoji19]
 
Huyu siyo msukuma ni mnyamwezi
 
Biblia inasema "wazazi msiwachokoze watoto"
Nanyi wenye umri mkubwa muwe mnajiheshimu.
Huwezi kumkuta mzee Mohamed Said
Anatoa lugha chafu au malumbano asiyo na tija.
Huyu mzee popote alipo shikamoo kwake
Verified members huwa hawatukani. Hata Mohammed Said kama angekuwa na fake id,na pengine anayo,angetukana anapozinguliwa.
 
Umenena vyema.

Polee.
 
Bams:

Asante sana. Tupo pamoja.
 
80% ni ndogo sana. Binadamu O2 inatakiwa irange 95%mpaka 100%.Chini ya hapo anatakiwa awe kwenye O2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…