TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

Delta inakimbiza tu kimya kimya...badae ndio mtaelewa
Hivi Jamani kuna watu wenye vichwa vibovu,sio kila kifo ni corona,huyu mzee toka mwaka 1975 ameisha anza kufundisha chuo kikuu wengi atujazaliwa wengi aliowafundisha miaka hiyo wote waliisha stafu kazi,sasa mzee kama huyu mlitaka haishi miaka mingapi?Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 akizidi miaka 80(Zaburi 90:10) wengi sana hawafikii miaka hiyo
 
So sad. On 20/12/2020 my classmate at Old Moshi sec 1970/71 form iv/vi passed away - Prof. Bakari Lembariti - MUHAS.

Leo college mate UDSM Prof. Mayunga Nkunya 1972 - 1975 tuliyekuwa naye hapo mlimani.

So sad. Najiandaa kuagana nanyi wana jf. Hii ndiyo reality.
Pole sana Mkuu. Ndio njia yetu sote[emoji19]
 
Uko sahihi kabisa kabisa. Mayunga wa vita alikuwa msukuma, most likely na huyu ni msukuma. Amenifundisha chemistry miaka 3 bila kujua kuwa ana majina mengine haya ya kiislamu. Tulijua la Nkunya sana sana. nami nimejiuliza sana uislamu aliutoa wapi enzi hizo usukumani. basi atakuwa ni msukuma wa Tabora!
RIP alikuwa friendly sana kwa wanafunzi. alitaka tuijue chemistry..
Huyu siyo msukuma ni mnyamwezi
 
Biblia inasema "wazazi msiwachokoze watoto"
Nanyi wenye umri mkubwa muwe mnajiheshimu.
Huwezi kumkuta mzee Mohamed Said
Anatoa lugha chafu au malumbano asiyo na tija.
Huyu mzee popote alipo shikamoo kwake
Verified members huwa hawatukani. Hata Mohammed Said kama angekuwa na fake id,na pengine anayo,angetukana anapozinguliwa.
 
Kuna baadhi ya watu, japo tunafurahia kutumia ID zilizofichika, lakini unatamani, tufahamiane. Wewe ni Kaka yangu. Mungu akujalie afya njema na maisha marefu yenye furaha, na amani tele.

Nina Kaka yangu mkubwa, sasa yupo 90, bado ana akili na hekima yake timilifu, alikuwa anaendesha gari, lakini tumemshauri tangu mwakajuzi asiendeshe, lakini bado anafuata ratiba yake ya tangu ujana ya kufanya mazoezi kila siku.

Kaka yangu mwingine ana 80, bado yupo very energetic. Alipata Covid 19 lakini akapona bila kupata complication yoyote. Hii Covid, inategemea sana nna ilivyokujia. Wakati Kaka yangu akipona Covid bila ya kuzidiwa, wala kulala hata siku moja kutokana na hayo mararhi, mtoto wa kakangu mwingine, mwenye 38, aliugua na kupata complication kubwa ya kupumua, akapoteza maisha. Kila Covid ikitamkwa, namkumbuka huyu mtoto wetu. Niishie hapa maana molyo wangu ni mzito sana. Namwba Mungu amjalie pumziko la milele maana jitihada na moyo wake wa kutaka kuwaokoa wengine, huenda ilichangie kuondoka kwake wakati huu.
Umenena vyema.

Polee.
 
Sasa ni wakati wanaJF kufahamu umri wa baadhibya wakongwe.

Nitamshangaa siku moja nikimsikia mtu anatoa maneno ya hovyo, yaliyokosa hekima na staha kwa mze wwtu Jo Tsoxo.

Sote tumejua, huyu ni miongoni mwa wazee wetu hapa JF. Tufurahie na tupende kupata hekima zao kutokana na uzoefu wao mkubwa wa maisha.
Bams:

Asante sana. Tupo pamoja.
 
Wagonjwa ni wengi mahospital mitungi haitoshi. Ndugu yangu alilazwa KCMC oxygen yake ikiwa Chini Sana ikapanda mpaka 80s wakamuondoa ili kusaidia wengine Ila akawa wodini. Kumbe kirusi kikaendelea kutafuna akazidiwa hapo hapo hospital na tumeshazika.
80% ni ndogo sana. Binadamu O2 inatakiwa irange 95%mpaka 100%.Chini ya hapo anatakiwa awe kwenye O2.
 
Back
Top Bottom