TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

So sad. On 20/12/2020 my classmate at Old Moshi sec 1970/71 form iv/vi passed away - Prof. Bakari Lembariti - MUHAS.

Leo college mate UDSM Prof. Mayunga Nkunya 1972 - 1975 tuliyekuwa naye hapo mlimani.

So sad. Najiandaa kuagana nanyi wana jf. Hii ndiyo reality.
Mzee shikamo na pole kwa misiba, Ila baba fanyeni kampeni mkafanye ukarabati pale Old Moshi, ile shule imechakaa sana hata ukuta wa uzio hakuna upo vipande vipande tu.
 
Humu ndani inabidi kuwa makini sana unapom quote mtu. Anaweza akawa ni baba yako au mama yako [emoji3]. Staha izingatiwe. Mtu yuko college 1972 wakati sie wengine hata hatufikiriwi kama tutazaliwa
Kweli maana huo mwaka hata Mama angu alikua bado hajazaliwa aisee😂 inabidi kuheshimiana huku wakuu😀
 
He was a gentleman!
Ila sikujua kuwa ni Habibu Hemedi,
RIP Prof Mayunga Nkunya!
Miaka ya 60-70 vijana wa enzi hizo walikuwa na tabia ya kubadilisha majina ili wapate nafasi ya kuendelea kusoma baada ya kukosa nafasi. Lakini watu wa kanda ya ziwa wana tabia ya kubadilisha majina wanapohamia mwambao wa pwani....Huo ni mtazamo wangu!.

RIP Prof. Mayunga Nkunya.
 
Leteni chanjo haraka mtawamaliza wasomi wetu hawa...acheni siasa.

RIP Prof.

Wito: mlio na uwezo na mna umri wa miaka 60+ aisee kachanjeni hata nje ya nchi..balaa hili
Mtu ukiishagonga 60+ unaenda kuchanjwa kinga isiyo na uhakika ili iweje?.
 
R.I.P Prof.
Lakini hebu turudi nyuma kidogo.
Prof. Alikua TA pale mlimani 1976. Yaani alianza kazi 1976, wengi wenu humu ndani mlikua hamjazaliwa.
Prof ameendelea kua mtumishi Hadi 2021. Yaani huu Ni mwaka wa 46 Yuko kwenye majukumu tu. Alitegemea aanze lini kucheza na vitukuu?
Hivi nji hii haina wasomi wa kushika hizi nafasi wanazongangania Hawa ma ancenstors.
Yale Yale ya Mfugale at 68 bado alikua anang'ang'ana as if hii nji haina wasomi.
Nyie ma ancenstors achieni ofisi mkale NSSF zenu. Kuna vijana huku mtaani hawana KAZI....
 
Mtu ukiishagonga 60+ unaenda kuchanjwa kinga isiyo na uhakika ili iweje?.
We zumbukuku kama wazungu wangekuwa na nia ya kuua waafrica wala wasingehangaika na chanjo ya korona wangeua kizazi kwa chanjo za wajawazito na watoto, use common sense.
 
R.I.P Prof.
Lakini hebu turudi nyuma kidogo.
Prof. Alikua TA pale mlimani 1976. Yaani alianza kazi 1976, wengi wenu humu ndani mlikua hamjazaliwa.
Prof ameendelea kua mtumishi Hadi 2021. Yaani huu Ni mwaka wa 46 Yuko kwenye majukumu tu. Alitegemea aanze lini kucheza na vitukuu?
Hivi nji hii haina wasomi wa kushika hizi nafasi wanazongangania Hawa ma ancenstors.
Yale Yale ya Mfugale at 68 bado alikua anang'ang'ana as if hii nji haina wasomi.
Nyie ma ancenstors achieni ofisi mkale NSSF zenu. Kuna vijana huku mtaani hawana KAZI....
Elimu yako kwenye chemistry au ujenzi wa madaraja upoje.
Kuna Yule mbobezi wa uchumi US aliondoka kazini akiwa na miaka mingapi ?
Au nyinyi ndio ma lecturer mnaotoa degree za nyumba za wageni au karatasi za course work zinakuwa ni "godoro"
 
Miaka ya 60-70 vijana wa enzi hizo walikuwa na tabia ya kubadilisha majina ili wapate nafasi ya kuendelea kusoma baada ya kukosa nafasi. Lakini watu wa kanda ya ziwa wana tabia ya kubadilisha majina wanapohamia mwambao wa pwani....Huo ni mtazamo wangu!.

RIP Prof. Mayunga Nkunya.

..Prof ni mwenyeji wa Tabora.

..Na Tabora imetoa wasomi wengi Waislamu hapa nchini.

..Wako wakina Mussa Kwikima, Hashim Mbita, Juma Kapuya, Ali Karavina, Abubakar Mgumia, na wengine wengi.
 
Du!... Kwanza hujanitendea haki kwa kuniita zumbukuku wakati bandiko langu lina lengo fikirishi. Mtu ana miaka 60 na kinga ya mwili kwa umri huo huanza kupungua, chanjo anayopewa itamlinda vipi wakati mwili wake umepunguza kazi ya kujilinda?. Naamini una uwezo wa kutafakari kwa kina kauli niliyoitoa na kuijadili badala ya kurusha matusi humu na kuwaabudu wazungu ambao wanafanya kile unachoweza kufanya.

CC Fuso
 
..Prof ni mwenyeji wa Tabora.

..Na Tabora imetoa wasomi wengi Waislamu hapa nchini.

..Wako wakina Mussa Kwikima, Hashim Mbita, Juma Kapuya, Ali Karavina, Abubakar Mgumia, na wengine wengi.
Prof Kadete ananiuma saana...Tabora imetoa wasomi wengi ila mkoa maendeleo sifuri.
 
Humu najitahidi kupunguza masihara, nilishangaa kuna jaji mstaafu humu na anapendelea mijadala ya siasa balaa. Siku moja wakati tunapiga stori ghafla tukajikita tunajadili jf na wote ni member[emoji1][emoji1]
Tuheshimu watu jamani. Humu kuna watu wakubwa ki umri na Elimu......
mm siku hizi nimepunguza ujinga na masihara
 
Back
Top Bottom