Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee shikamo na pole kwa misiba, Ila baba fanyeni kampeni mkafanye ukarabati pale Old Moshi, ile shule imechakaa sana hata ukuta wa uzio hakuna upo vipande vipande tu.So sad. On 20/12/2020 my classmate at Old Moshi sec 1970/71 form iv/vi passed away - Prof. Bakari Lembariti - MUHAS.
Leo college mate UDSM Prof. Mayunga Nkunya 1972 - 1975 tuliyekuwa naye hapo mlimani.
So sad. Najiandaa kuagana nanyi wana jf. Hii ndiyo reality.
Ni Chuo Kikuu cha 'Geniuses' Tanzania.
Kweli maana huo mwaka hata Mama angu alikua bado hajazaliwa aisee😂 inabidi kuheshimiana huku wakuu😀Humu ndani inabidi kuwa makini sana unapom quote mtu. Anaweza akawa ni baba yako au mama yako [emoji3]. Staha izingatiwe. Mtu yuko college 1972 wakati sie wengine hata hatufikiriwi kama tutazaliwa
Hongera mkuu! Uko vizuriVp Pter??
Last week Thurday 15/07/2021 nimesherehekea birthday yangu - nimegonga miaka 72. Hivi mi ni mzee kiasi hicho???!!!
Natania kidogo kuondoa frustration pamoja na ukweli ni babu.
Miaka ya 60-70 vijana wa enzi hizo walikuwa na tabia ya kubadilisha majina ili wapate nafasi ya kuendelea kusoma baada ya kukosa nafasi. Lakini watu wa kanda ya ziwa wana tabia ya kubadilisha majina wanapohamia mwambao wa pwani....Huo ni mtazamo wangu!.He was a gentleman!
Ila sikujua kuwa ni Habibu Hemedi,
RIP Prof Mayunga Nkunya!
Mtu ukiishagonga 60+ unaenda kuchanjwa kinga isiyo na uhakika ili iweje?.Leteni chanjo haraka mtawamaliza wasomi wetu hawa...acheni siasa.
RIP Prof.
Wito: mlio na uwezo na mna umri wa miaka 60+ aisee kachanjeni hata nje ya nchi..balaa hili
Mkajua mghala mwenzenu😂Hata mimi sikuwahi kujua! Siku zote alikuwa anaandika Mayunga H. H. Nkunya!
RIP Prof.
Shkamoo MshuaDuh!!!
RIP my college mate UDSM July 1972 - March 1975.
Yes, he a real gentleman.
We zumbukuku kama wazungu wangekuwa na nia ya kuua waafrica wala wasingehangaika na chanjo ya korona wangeua kizazi kwa chanjo za wajawazito na watoto, use common sense.Mtu ukiishagonga 60+ unaenda kuchanjwa kinga isiyo na uhakika ili iweje?.
Elimu yako kwenye chemistry au ujenzi wa madaraja upoje.R.I.P Prof.
Lakini hebu turudi nyuma kidogo.
Prof. Alikua TA pale mlimani 1976. Yaani alianza kazi 1976, wengi wenu humu ndani mlikua hamjazaliwa.
Prof ameendelea kua mtumishi Hadi 2021. Yaani huu Ni mwaka wa 46 Yuko kwenye majukumu tu. Alitegemea aanze lini kucheza na vitukuu?
Hivi nji hii haina wasomi wa kushika hizi nafasi wanazongangania Hawa ma ancenstors.
Yale Yale ya Mfugale at 68 bado alikua anang'ang'ana as if hii nji haina wasomi.
Nyie ma ancenstors achieni ofisi mkale NSSF zenu. Kuna vijana huku mtaani hawana KAZI....
Kutuandikia kiarabu..kwani nani alimwambia humu kuna waarabu...vitu vingine upuuzi sana.
Anyway apumzike kwa amani prof.
#MaendeleoHayanaChama
Miaka ya 60-70 vijana wa enzi hizo walikuwa na tabia ya kubadilisha majina ili wapate nafasi ya kuendelea kusoma baada ya kukosa nafasi. Lakini watu wa kanda ya ziwa wana tabia ya kubadilisha majina wanapohamia mwambao wa pwani....Huo ni mtazamo wangu!.
RIP Prof. Mayunga Nkunya.
Prof Kadete ananiuma saana...Tabora imetoa wasomi wengi ila mkoa maendeleo sifuri...Prof ni mwenyeji wa Tabora.
..Na Tabora imetoa wasomi wengi Waislamu hapa nchini.
..Wako wakina Mussa Kwikima, Hashim Mbita, Juma Kapuya, Ali Karavina, Abubakar Mgumia, na wengine wengi.
Tuheshimu watu jamani. Humu kuna watu wakubwa ki umri na Elimu......Humu najitahidi kupunguza masihara, nilishangaa kuna jaji mstaafu humu na anapendelea mijadala ya siasa balaa. Siku moja wakati tunapiga stori ghafla tukajikita tunajadili jf na wote ni member[emoji1][emoji1]
Karibu chamaniTuheshimu watu jamani. Humu kuna watu wakubwa ki umri na Elimu......
mm siku hizi nimepunguza ujinga na masihara