Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo middle east, bali asuili yao ni caucus mountains huko Ukraine ilipokuwa Kingdom ya Khazaria.
Kwa ufahamu tu ni kuwa Kingdom ya Khazaria ilikuwepo zaidi ya miaka 1000 iliyopita, ilitokea kuwa Mfalme wa nchi hiyo akaamua kuchagua dini, basi akachagua Uyahudi, basi watu wake nao wakabadili dini na kuingia uyahudini. Hao watu baadae walisambaa ulaya, ikiwemo nchi ya ujerumani na nyinginezo. Leo majority ya hao watu wanaitwa ASHKENAZI JEWS, ni wazungu, na ndiyo waliounda Zionist movement kuja kuishi Palestine. Na walifanikiwa kuunda Taifa mwaka 1948.
Unaweza kumsikiliza hapa profesa Chomsky akikiri fact hiyo!
View: https://www.youtube.com/watch?v=zmOBsYbxPCY&ab_channel=FreeWill