Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

Mwambie tu kuwa hata Ivanka mtoto wa Trump aliyeolewa na Myahudi Jared Kushner naye kabadili dini na kuwa Myahudi.
Na zaidi hata Jared Kusheer kwa asili ni Mhindi aliyeongoka kuwa Myahudi kwa dini. Asingeongokea Uyahudi angekuwa Budha, dini ya asili yake ya India.
 
Familia ya Trump wazazi wake wana asili ya kiyahudi waliamia Marekani toka Udachi sababu ya maonevu ya mateso ya wayahudi na dini yao ndipo Donald Trump.akazaliwa Marekani akiwa mtoto wa wayahudi lakini wakaingia ukrisito lakini kule kwenye dini ya wayahudi wanawatambua kama wayahudi na dini ya kiyahudi

Ivanka mwanawe akaamua kuolewa na myahudi Jared akarudi dini yake ya kiyahudi huwezi ita alibadili sababu kazaliwa kupitia damu ya kizazi cha kiyahudi

2017 Raisi Trump kizazi cha kiyahudi alisaini decree hii hapa chini

NOW, THEREFORE, I, DONALD J. TRUMP, President of the United States of America, by virtue of the authority vested in me by the Constitution and the laws of the United States, do hereby proclaim May 2017 as Jewish American Heritage Month. I call upon all Americans to celebrate the heritage and contributions of American Jews and to observe this month with appropriate programs, activities, and ceremonies.

IN WITNESS WHEREOF, I have hereunto set my hand this twenty-eighth day of April, in the year two thousand seventeen, and of the Independence of the United States of America the two hundred and forty-first.
 
India kuna wayahudi kibao jeshi la India na wako na enro lao kabisa wanajulikana kama Indian Jews

Ndio maana hata hilo jina anaitwa Jared jina la kiyahudi

Ndio maana hata sasa vita ya Hamas ns Israel India toka siku ya kwanza ilitangaza kuwa inaiunga mkono Israel dhidi ya vita yake na Hamas
India kuna wayahudi kibao wahindi wa dini ya kiyahudi ambao ni waumini wa dini ya kiyahudi na India wanaheshimu.mno ni wapiganaji mahiri wako kibao jeshi la India
 
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga

Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi

Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya

Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini

Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali

Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi

Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk

Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao

Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden

Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim
We jamaaa kiaz kweli yaaan
 
the other part is..huyu Dingi ni mweupe kabisa na hapa ili kunogesha hoja katajwa kama myahudi ila ukienda kwenye nyuzi zingine zinazohusu Israel mleta mada anakataa akina Netanyahu kuwa si Wayahud kwasababu tu ni weupe. huyu hapa ni mweupe na uyahudi wake umekubalika na mleta mada kwasababu hana mpango wa kwenda kuishi Israel ila ikitokea akapata mpango wa kwenda kuishi huko Uyahudi wake utakataliwa na kusema huyu si myahudi,hakuna myahudi mweupe hivi.huyu ni mzungu wa ulaya.
 
Nakazia..

Huyo Noam Chomsky ni muongo!

Dini ya Kiyahudi ni moja ya dini ambazo ni non-missionary, yaani dini ambazo hazihitaji waumini wapya kupitia ushawishi au hiari kama wanavyofanya Wakristo, Waislamu..
👇
The three main religions classified as missionary religions are Buddhism, Christianity, and Islam,

while the non-missionary religions include Judaism, Zoroastrianism, and Hinduism.

Other religions, such as Primal Religions, Confucianism, and Taoism, may also be considered non-missionary religions.
 
KwaNi Akina Netanyahu ni weusi? Mbona Wazungu kama Biden.
the other part is..huyu Dingi ni mweupe kabisa na hapa ili kunogesha hoja katajwa kama myahudi ila ukienda kwenye nyuzi zingine zinazohusu Israel mleta mada anakataa akina Netanyahu kuwa si Wayahud kwasababu tu ni weupe. huyu hapa ni mweupe na uyahudi wake umekubalika na mleta mada kwasababu hana mpango wa kwenda kuishi Israel ila ikitokea akapata mpango wa kwenda kuishi huko Uyahudi wake utakataliwa na kusema huyu si myahudi,hakuna myahudi mweupe hivi.huyu ni mzungu wa ulaya.
 
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga

Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi

Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya

Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini

Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali

Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi

Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk

Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao

Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden

Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim
Acha uwongo wewe,Kuna wayahudi wengi tu hawana back ground ya uyahudi na Wala si waisrael
 
Mfano Mngoni unawezaje kumwambia Eti yeye sio mtanzania kwa sababu Tu asili yake ni South Africa...
Mmasai unawezaje leo kumwambia Sio Mtanzania Au mkeny eti kisa tu Asili yake ni Ethiopia..
Kuna vitu huwa vinafikirisha Sana unajiuliza hivi huyu Phd aliipataje
Kwa nini hawataki kukaa na hao palestine
 
Kikubwa ambacho wenye mahaba na wayahudi hawakijui Kuna wayahudi wa aina nyingi , pale Marekani Kuna waafrika wanajiita wayahudi fuatilia, wayahudi wengi wa ulaya na Marekani uyahudi wao ni wakiimani na sio asili ,fuatilia utafiti uliofanyika kupitia DNA,. karibuni Kanisa katoliki la mitume hatu abudu watu Wala Taifa. Amani na salama wapendwa
 
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga

Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi

Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya

Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini

Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali

Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi

Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk

Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao

Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden

Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim

Uongo huna data fuatilia, Kuna watu wameamua kujifunza dini ya kiyahudi na kuifuata
 
Familia ya Trump wazazi wake wana asili ya kiyahudi waliamia Marekani toka Udachi sababu ya maonevu ya mateso ya wayahudi na dini yao ndipo Donald Trump.akazaliwa Marekani akiwa mtoto wa wayahudi lakini wakaingia ukrisito lakini kule kwenye dini ya wayahudi wanawatambua kama wayahudi na dini ya kiyahudi

Ivanka mwanawe akaamua kuolewa na myahudi Jared akarudi dini yake ya kiyahudi huwezi ita alibadili sababu kazaliwa kupitia damu ya kizazi cha kiyahudi

2017 Raisi Trump kizazi cha kiyahudi alisaini decree hii hapa chini

NOW, THEREFORE, I, DONALD J. TRUMP, President of the United States of America, by virtue of the authority vested in me by the Constitution and the laws of the United States, do hereby proclaim May 2017 as Jewish American Heritage Month. I call upon all Americans to celebrate the heritage and contributions of American Jews and to observe this month with appropriate programs, activities, and ceremonies.

IN WITNESS WHEREOF, I have hereunto set my hand this twenty-eighth day of April, in the year two thousand seventeen, and of the Independence of the United States of America the two hundred and forty-first.
Nani kakwambia Trump ana asili ya Uyahudi?

Hivi haya mambo huwa mnajitungia kutokea wapi?.

Na si mnadai Uyahudi ni matrineal, huyo mama yake Ivanka tangu lini akawa myahudi?

Na hujajibu swali nililokuuluza awali. Uyahudi wa Wafalasha wa ethiopia wameupataje?
 
Mfano Mngoni unawezaje kumwambia Eti yeye sio mtanzania kwa sababu Tu asili yake ni South Africa...
Mmasai unawezaje leo kumwambia Sio Mtanzania Au mkeny eti kisa tu Asili yake ni Ethiopia..
Kuna vitu huwa vinafikirisha Sana unajiuliza hivi huyu Phd aliipataje
Au hapa Tanzania tuseme ukoo wote wa Sykes sio watanzania kwa vile babu yao alitoka South Africa?
 
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga

Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi

Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya

Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini

Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali

Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi

Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk

Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao

Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden

Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim
Midevu yake kama yesu
 
chai imepoa sana ungeipasha moto kabla ya kuileta mezani JF, halafu haina sukari, halaf chai yenyewe imechacha, aisee kajipange tena najua unawaunga sana mkono magaidi ya kipalestina ila kwa chai hii hapana huwezi shawishi werevu kajipange tena!
Kinachoendelea Gaza huhitaji kuwa muislaam ili uwaonee huruma wapalestini,mtu yeyote anayejielewa angefanya kama walivofanya hamasi kunyanyaswa ktk nchi yako hakuna anaekubali ... Wasouth Africa wanajuwa uonevu hawakungoja kitu wametimuwa balozi wa wauwaji,,nyinyi huko makanisani sijui mnafundishwa nini na hao Bwajima mtihani kwelikweli.. Sasa naamini kweli uhuru walioupambania ni waislam..Upande wa pili haoni baya lolote toka kwa hawa blonde hair..
 
Au hapa Tanzania tuseme ukoo wote wa Sykes sio watanzania kwa vile babu yao alitoka South Africa?
Mbona unachanganya ni history hiyo yaani Mngoni akatae yeye hana asili ya South au huyo Syks akatae aseme yeye hana asili ya huko,na hao kinachoongelewa ni asili yao hao ni wazungu wazee wa kupigana nao kama Pope na huko Ghana Kadinali Mkuu anasema waruhusu kuchapwa nao kama anavotaka Babayenu wa Italy.
 
Illegible
 
Back
Top Bottom