baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Palestinian ni Jews wa zamani ambao wamebadili dini na kuwa Waisilamu na wakristo.Wewe ndio umelewa kabisa bangi ya milima ya usambaa, Palestinians na Jews wapi na wapi. Hata Biblia husomi, bure kabisa.
Akikujibu nitagPalestinian ni Jews wa zamani ambao wamebadili dini na kuwa Waisilamu na wakristo.
Nikuulize swali, Yesu alivyokuja si Kuna Jews walimfuata? Hao wakristo waliomfuata yesu Mwanzo wapo wapi Sasa hivi?
wasauzi ni wapumbuvu.Kinachoendelea Gaza huhitaji kuwa muislaam ili uwaonee huruma wapalestini,mtu yeyote anayejielewa angefanya kama walivofanya hamasi kunyanyaswa ktk nchi yako hakuna anaekubali ... Wasouth Africa wanajuwa uonevu hawakungoja kitu wametimuwa balozi wa wauwaji,,nyinyi huko makanisani sijui mnafundishwa nini na hao Bwajima mtihani kwelikweli.. Sasa naamini kweli uhuru walioupambania ni waislam..Upande wa pili haoni baya lolote toka kwa hawa blonde hair..
SahihiNakazia..
Huyo Noam Chomsky ni muongo!
Dini ni ya Kiyahudi ni moja ya dini ambazo ni non-missionary, yaani dini ambazo hazihitaji waumini wapya kupitia ushawishi au hiari kama wanavyofanya Wakristo, Waislamu..
👇
The three main religions classified as missionary religions are Buddhism, Christianity, and Islam,
while the non-missionary religions include Judaism, Zoroastrianism, and Hinduism.
Other religions, such as Primal Religions, Confucianism, and Taoism, may also be considered non-missionary religionsas
Mzee Ngonyani naona umeniquote na kujibu bila kuelewa mantiki. Embu soma alichoandika niliyemquote then soma vizuri ulichoniquote linganisha na ulichosema wewe sasa je vinaingiliana?Ni ujinga kudharau hoja ya mtu mwingine yeye ka mnukuu, mtu msomi na wewe katafute utuletee ukweli unaoujua
Sahihi
Kuna nchi kama Nigeria, Zimbabwe,Kenya nk waswahili ngozi nyeusi walianzisha masunagogi Yao wakisali kama wanavyosali wayahudi na kujiita na wao wayahudi watambuliwe kama wayahudi wakidhani kuwa dini ya kiyahudi ni ya kimisionari kuwa wayahudi watafurahi sana kupata waumini wapya wa dini ya kiyahudi Toka Africa
Viongozi wa Dini ya Kiyahudi wakaenda kuwatembelea kuwajua Kwa undani kabla kuwakubali wakakuta wanajua vizuri sana tu maandishi ya kiyahudi sababu wayahudi Wana maandishi Yao kama ilivyo Kwa lugha ya kiarabu wakakuta wanajua kusoma kuandika na kuongea kiyahudi na kusali kiyahudi bila kukosea shida ikaja ya wao kuthibitisha kuwa wazazi au mababu na mabibi zao wa Karne huko nyuma kuwa walikuwa wayahudi wakashindwa.
Wayahudi walianza kujua kusoma na kuandika Toka enzi za akina Musa hivyo hata watawanyike vipi historia ya Kila ukoo huwekwa kumbukumbu Kwa Maandishi
Wakabanwa leteni historia za genealogy zenu za koo za kiyahudi ambako nyie mwatokea wakashindwa wakaambiwa hiyo dini ya kiyahudi mnasali ni yenu mumejitengenezea wenyewe endeleeni ila sisi hatuwatambui kama dini ya kiyahudi Wala hatuwatambui kama sehemu ya matawi ya dini yetu ya kiyahudi na hatuwatambui kama wayahudi ila mnaruhusiwa kuendelea na mnachoamini wenyewe mlichojitengenezea mkaita dini ya kiyahudi
Lakini wayahudi hawawatambui kama sehemu ya dini Yao na hawawatambui kama wayahudi makundi hayo yapo nchi kama Kenya,Nigeria na Zimbabwe piaUongo huna data fuatilia, Kuna watu wameamua kujifunza dini ya kiyahudi na kuifuata
Naona umeamua kuchekeshaWaisraeli halisi ni wamasai.
Hao wazungu hata mimi nawakata kabisa.
1 Nyakati 9:12Waisraeli halisi ni wamasai.
Hao wazungu hata mimi nawakata kabisa.
fafanua mkuu amechekesha wapi?Naona umeamua kuchekesha
Yusufu hakuwa myahudiMiongoni mwa hao wapalestina wanaopigwa wamo miongoni mwao ni kizazi cha Yakobo. Shida yao ni waliamua kufuata Uislamu na tamaduni za kiarabu tu baasi.
Pia kuna Wayahudi wa Arabia ikiwemo Yemeni, Iraki na kule Uajemi (Irani). Kuna wengine wako Afrika (Lemba) people, Wengine wako Afghanistan huko (hawa wataleban unaowaona, Pashtun people, inasemwa kuwa kuna kizazi cha Yusufu mle), n.k
Mbona hujatuambia wayahudi wanaotokana na Ibrahim wako wapi? Uongo kama ule mwingine.Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo middle east, bali asuili yao ni caucus mountains huko Ukraine ilipokuwa Kingdom ya Khazaria.
Kwa ufahamu tu ni kuwa Kingdom ya Khazaria ilikuwepo zaidi ya miaka 1000 iliyopita, ilitokea kuwa Mfalme wa nchi hiyo akaamua kuchagua dini, basi akachagua Uyahudi, basi watu wake nao wakabadili dini na kuingia uyahudini. Hao watu baadae walisambaa ulaya, ikiwemo nchi ya ujerumani na nyinginezo. Leo majority ya hao watu wanaitwa ASHKENAZI JEWS, ni wazungu, na ndiyo waliounda Zionist movement kuja kuishi Palestine. Na walifanikiwa kuunda Taifa mwaka 1948.
Unaweza kumsikiliza hapa profesa Chomsky akikiri fact hiyo!
View: https://www.youtube.com/watch?v=zmOBsYbxPCY&ab_channel=FreeWill
Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo middle east, bali asuili yao ni caucus mountains huko Ukraine ilipokuwa Kingdom ya Khazaria.
Kwa ufahamu tu ni kuwa Kingdom ya Khazaria ilikuwepo zaidi ya miaka 1000 iliyopita, ilitokea kuwa Mfalme wa nchi hiyo akaamua kuchagua dini, basi akachagua Uyahudi, basi watu wake nao wakabadili dini na kuingia uyahudini. Hao watu baadae walisambaa ulaya, ikiwemo nchi ya ujerumani na nyinginezo. Leo majority ya hao watu wanaitwa ASHKENAZI JEWS, ni wazungu, na ndiyo waliounda Zionist movement kuja kuishi Palestine. Na walifanikiwa kuunda Taifa mwaka 1948.
Unaweza kumsikiliza hapa profesa Chomsky akikiri fact hiyo!
View: https://www.youtube.com/watch?v=zmOBsYbxPCY&ab_channel=FreeWill
Walemba, Wafalasha, Wapashtun, Wayahudi waliokuwa Arabia ( wengine wamerudi Israel), Lakini hawa akina Netanyahu, hawa ipo mushkeliMbona hujatuambia wayahudi wanaotokana na Ibrahim wako wapi? Uongo kama ule mwingine.
Wew ndio muongo,din ya kiyahud inaruhusu kubadili din,na ndio kuna watu sio Wayahud ila wanaifata hyo dini,mfano Gerald Pique mchezaj wa zaman wa BarcelonaUongo tena uliokubuhu dini ya kiyahudi tofauti kabisa na Ukristo na Uislamu haihitaji cha kuongoka wala nini kuwa muumini wa dini ya kiyahudi
Halipo hilo
Sio kweli Gerald Pique ni.mkatoliki na hajawahi badili dini kilichowachanganya wengi wakahisi dini ya kiyahudi ni pale alipoenda Israel na kuvaa kiyahudi na kusali kiyahudi kwenye ukuta ule wa maombi wa wailing WallWew ndio muongo,din ya kiyahud inaruhusu kubadili din,na ndio kuna watu sio Wayahud ila wanaifata hyo dini,mfano Gerald Pique mchezaj wa zaman wa Barcelona
Yeye ametoa mawazo au ameunga mkono hoja ambayo ilishakuwepo? Embu tuwe broad minded jamani...
una uswahili mwingi mkui , jamaa yupo kidebate ila ww full uswahiliKiswahili chenyewe hukijui,kufikiri shida,basi shaghalabaghala tu
Xawa boss umeshinda,Sio kweli Gerald Pique ni.mkatoliki na hajawahi badili dini kilichowachanganya wengi wakahisi dini ya kiyahudi ni pale alipoenda Israel na kuvaa kiyahudi na kusali kiyahudi kwenye ukuta ule wa maombi wa wailing Wall
Kifupi mtu yeyote mfano wakristo wote wanaoenda kupeleka maombi yao kule
Post thread
wakienda kuhiji huvaa kiyahudi na kusali still ya dini ya kiyahudi lakini ukishaondoka unaendelea na dini yako
Pia kuna nchi nyingi wana watu wanasali sala zote za dini ya kiyahudi na kushika mila zote za kiyahudi lakini wayahudi hawawatambui hizo dini kama sehemu ya dini ya kiyahudi