Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

July 10, 2019
Global Media Freedom Conference on 10 and 11 July in London UK.

BBC Focus on Africa : Number of attacks on journalist rise :

Tanzania has come under criticism for muzzling the freedom of press and Prof. Palamagamba John Kabudi, the Foreign minister of Tanzania explain his views of free speech and freedom of expression


Soma:

 
OMG Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”. How did Palamagamba know that Azory is dead? @CPJAfrica Amnesty https://t.co/EjCrH98MuI
Si kweli aisee nimeisikiliza na kutizama amesema watu wamepotea na kufa wala hajamrejea Azori pekee, amewarejea watu wengi waliokutwa na maswaibu kule kibiti na rufiji...
Kuna watu wanacheza na akili za watanzania kwa kuquote kisentesi kimoja kuibua taharuki

 
hao wanataka kulinganisha akili za profesa na yule mwanasheria mropokaji bila ushahidi imekula kwao. huyo ndio Kabudi , sumu ya siasa za utapeli Tanzania
 
Kumbuka Mkuu huyu aliokotwa jalalani. Na waliokotwa jalalani ndivyo walivyo. Serikali yote hii imejaa watu dhalimu na waongo wa kutupa kuanzia huyo nduli na dikteta wa Ikulu na baraza lote la mawaziri.

 
Amesema "Azori amepotea na amekufa"

Wasiojulikana wanazidi kujitokeza bila kujua...

Kajuaje Azori amededi??

Ndio maana akiitwa mpumbavu annashangilia??

Wasomi wa majalalani tabu sana
We babu umeisikiliza mwenyewe hiyo habari au umeona kipande cha video tu?

 
Achana nao , hao...huoni walivyoacha jibu lote na kichukua kijisehemu ili waeneze propaganda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…