Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amani,utulivu uhuruna wa kujieleza ulionaosasa mpaka umepata nafasi ya kukaahapo ulipo unaandika kwa utulivu na amani ni kwa sababu ya serikali ya ccm.
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hio taka taka haina data. Hayupo well informed.Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
...ila ccm imeweza kumtumia vilivyo Prof. Muhongoprofessor safari na professor baregu mmeshindwa kuwatumia kuwaongoza mmewapuuza ndo maana chama kimekufa.

Lini CCM ilikuwa chama Cha siasa?Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Huyu jamaa nilianza kumpuuza alipoanza kimsifia jiwe, nikajua hafanyi research yake vizuri, sasa kwa level ya professor inatia shaka sana, vinginevyo atakuwa na ajenda binafsi.Lini CCM ilikuwa chama Cha siasa?

Basi elimu ya Tanzania ina tatizo sehemuDegree yake ya kwanza ya sheria!
Ukiona hivyo ujue tayari kichaa kishapanda.mbwa hawezi kuwa na uthubutu wa kutafuna mkono unaomlisha
Huyu profesa Ni sawa na Lipumba.Yaani Chadema ambayo imejizolea wanachama na ina falsafa yake,chama kunachopambana na vyama vingine ikiwemo CCM yenye kutumia dola na kila taasisi ya umma na ikabaki imara yeye anasema ni chama kichanga. Hapo kwao ni chama gani aweza kifananisha na Chadema? Kuhama vyama Ni jambo la kawaida sema kuhama na kukashfu uliowaacha ndo jambo la hovyo,Trump mwenyewe kahama vyama hata Leon Trotsky alihama chama.CCM chama cha kijamaa Chenye wanachama wanaoamini na kuishi katika ubepari.
Chama cha kijamaa kinachoendesha nchi katika misingi yote ya ubepari.
Halafu kuna Professor mmoja kutoka huko anadai kuwa ndiyo chama Chenye itikadi inayoeleweka.
Chadema ni chama cha mlengo wa kati na kimeishi imani yake hiyo tangu kuanzishwa kwake mpaka leo halafu prof mmoja anasema itikadi yake haieleweki ?
Huyo Prof huwa ananufaika sana na makongamano anayoitwa huku bongo ndiyo maana anajitahidi kusifia utawala ili asikatiwe Mirija.Huyu profesa Ni sawa na Lipumba.Yaani Chadema ambayo imejizolea wanachama na ina falsafa yake,chama kunachopambana na vyama vingine ikiwemo CCM yenye kutumia dola na kila taasisi ya umma na ikabaki imara yeye anasema ni chama kichanga. Hapo kwao ni chama gani aweza kifananisha na Chadema? Kuhama vyama Ni jambo la kawaida sema kuhama na kukashfu uliowaacha ndo jambo la hovyo,Trump mwenyewe kahama vyama hata Leon Trotsky alihama chama.
Sio unaongea kinyume? Maana sumu ya CCM ni tume huru, CCM hawana watu ila mamlaka I.e vyombo vya dola plus tume mbovu ya uchaguzi, While CHADEMA wana akidi ya kutosha ya watuUnapoitaja CCM unaona watu
Lakini unapoitaja Chadema unaona mtu,!
Hiyo ndiyo tofauti kubwa iliyopo, Chadema Hadi iondokane na mfumo mtu ili kiwe Chama watu, ni miongo kadhaa ijayo, au huyo Chama mtu aitwe na Bwana, ndiyo kidooogo mambo yanaweza kujipa
Hivi kweli tunahitaji uchambuzi wa kina Prof Lumumba kujua kuwa ACT sijui CUF sijui Chadema ni vitalu vya Wapigaji?
Atleast NCCR unaweza ukajishawishi hata kinafki kuwa kinaweza kuvaa viatu vya Chama kikuu cha Upinzani kwa muda otherwise Ccm ilitosha kuwa Chama tawala na pia kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa wakati mmoja
Lumumba is highly paid with this crooked ruling party to pave their way, waitishe tume huru, sisi majaji tupewe uhuru, ucgaguzi usimamiwe na wengine, hata serikali ya Somalia waoneDefinition ya chadema inasema hivi_____Chadema is the political. Party which power belong to the people/
Sisi chadema kumsingiliza Mbwa tunasikia kelele tu.